SIMGAS

wmakishe

Member
Jan 18, 2011
59
53
Wana JF, Salam zangu kwenu !

Tafadhali naomba kama kuna mtu humu JF amewahi kununua na kutumia mtambo wa SIMGAS kuzalisha gasi kwa matumizi ya kupikia nyumbani, atuambie ufanisi wake. Isije kuwa ni kama yale majiko ya MOTOPOA ambayo moto wake ni kama wa mshumaa, huwezi ivisha hata chai. Maelezo kamili ya jiko la SIMGAS wameandika kwenye website yao www.simgas.com lakini mimi naomba ushuhuda wa aliyewahi kutumia SIMGAS kabla ya sijahamua kununua.

Asanteni
 
Back
Top Bottom