bendera ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Meli ya kubeba mafuta yenye bendera ya Tanzania, MT ASANA, imetekwa nyara

    Meli ya kubeba mafuta yenye bendera ya Tanzania, MT ASANA, imetekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa maharamia wa Kisomali baada ya kuondoka katika bandari ya Mukalla nchini Yemen. Kwa mujibu wa vyanzo vya usalama na maafisa wa eneo hilo, meli hiyo ilitekwa siku ya Ijumaa na baadaye kupelekwa...
  2. Rufiji

    JamiiForums Tanzania Meli yenye Kupeperusha Bendera ya Tanzania yalipuliwa na Russia

    Meli yenye bendera ya Tanzania imelipuliwa na Jeshi la Russia huko kwenye Bahari Nyeusi. Russia wanadai meli hiyoilikuwa inatumika kusaidia Ukraine. Ni vizuri serikali yetu ikatoa majibu ya kina kuhusu ili tukio. Hasa ukizingatia ya kuwa tuna mahusiano mazuri na Russia na juzi tuu viongozi...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishambulia meli ya mizigo yenye bendera ya Tanzania. Ilikuwa inatoka Ukraine kwenda Uturuki

    Russia imelipua meli yenye bendera ya 🇹🇿 iliyokuwa ikitoka Chornomorsk kwenda Uturuki ikiwa imebeba alizeti. Mlipuko wa drone umeua baharia mmoja =============== Russia struck the Tanzania-flagged cargo vessel ATLAS BE off the coast of Odesa. The ship was sailing from Chornomorsk to Turkey...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania? Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela? Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Meli iliyokamatwa na Cocaine El Salvador imesajiliwa Zanzibar, na tayari imefutiwa usajili

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza leo Februari 26, 2026 na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, amezungumzia meli iliyokamatwa nchini El Salvador ikiwa na tani 6.6 za cocaine na kubeba bendera ya Tanzania. Msigwa amesema meli hiyo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu wa kuja kutusaidia Watanzania

    Tanzania Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
  7. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maombi ya kushika Bendera ya Tanzania ili kuiombea taifa kuelekea MO29

    Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29. Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29? Mao
  8. L

    JamiiForums Tanzania Moshi Mweupe Wafuka Juu Ya Bendera Ya Tanzania Geneva Uswisi. Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea

    Ndugu zangu Watanzania, Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika. Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Iran yakamata Meli 2 zenye bendera ya Tanzania zikidaiwa kusafirisha mafuta ya magendo

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limekamata meli mbili zilizokuwa na bendera ya Tanzania, zikidaiwa kuwa zilisafirisha mafuta ya dizeli kwa njia ya magendo katika Ghuba ya Uajemi, Shirika la habari la Fars limeripoti kuwa meli hizo, zilizosafiri chini ya majina ya...
  10. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Simbu kupeperesha bendera ya Tanzania Boston Marathon, Marekani

    Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya 'bostonmarathon' huko Marekani, tarehe 21 Aprili Mwaka Huu, akiwa na muda wake bora wa 2:04:38, huko anakwenda kupambana na miamba mingine kutoka Kenya na Ethiopia kwenye mchezo wa Riadha Duniani.
  11. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kama walivyokamatwa waliotupa noti kwenye sherehe ya harusi Mwanza ndivyo waliobandika picha ya Samia kwenye bendera ya taifa wakamatwe

    Bendera ya taifa la Tanzania inalindwa na katiba imo ndani ya katiba ya Jamuhuri ya Tanzania kwa kutaja rangi ilizonazo na vipimo na uwekaji miraba ya hizo rangi. Ilitokea Zanzibar ambako kwa mara ya kwanza zilionekana bendera za taifa la Tanzania zikiwa pamoja na rangi yake imeongezwa picha ya...
  12. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Tanzania yapeperushwa vyema nchini Rwanda

    Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki “FTX Ushirikiano Imara 2024” lililofanyika...
Back
Top Bottom