Simbanking kupitia Voda wapi shida ipo

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,840
Reaction score
5,097
Unamtumia mtu hela kutoka account yako ya CRDB kwenda account nyingine ya CRDB inakuambia umefanikiwa maana ni kweli unaona hata na jina lake linatokea.
Ila sasa tatizo kujua kweli zimeingia hadi upigie akumbie zimeingia ila wewe huku hakuna message inakurudia kuwa umetuma hela kwenda kwa flani angalau u copy message u paste aone na kiukweli ukiangalia salio lako unaona hela zimetoka.
Naomba CRDB Simbaking kushirikiana na VODA wekeni sawa hili
Au mtasema mko busy na uchaguzi kwani wafanyakazi wote ni wagombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…