Simbanet internet gharama utata

Simbanet internet gharama utata

Hizo gharama ni zaidi ya internet ya Elon Musk ( Starlink )

Hawa dawa Yao ni Starlink ikifika Tanzania ofisii zao watafugia kuku na BATA ...

Ingia humu uone kama tanzania huduma za Starlink zimeshafika.



Unachofanya unaagiza dish linakufukia hata kama unaishi Nanjilinji, Vifurushi unakuwa unalipia Kwa Kadi. Na Vifurushi vyao ni cheap kuliko hivi vya kinyonyaji + speed ya internet Yao ni ya kiwango cha juu kuliko hii ya Mitandao yetu ya kinyonyaji

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Starlink kufika Tz 2030
 
Zuku hawajafika nje ya katikati ya jiji. Mwisho kkoo, upanga mpaka Kinondoni ya Morocco.

Sema hio voda Superkasi 20mbps kwa 115,000 si mbaya. Sababu Zuku 10mbps ni 70,000. Munaweza kuchanga Familia 2 mkagawana 10mbps kwa hio 67500. Ama kujibana Hata familia 3 ama 4 mnatumia, uwe tu na Router nzuri ili msije Dhulumiana speed.
Naona wamekuja kama wananchi group, wamesambaza nguzo mitaa ya mbezi beach karibia kila nyumba kwa sasa wanaweka waya na point
 
Ingekuwa MMU kwa mwandiko huu sijui ingekuaje..Tech huku kuna uungwana sana
 
ww ni mshamba kwan internet hii ya kawaida haiwez kushare files and kutuma data na kupiga simu kwa maelezo apo jua ww ni mtaalamu sema kuna kitu hukijui

ipo hv shared internet mean unatumia public IP na dedicated unatumia private IP so shared internet akija mtaalamu wa IT anaweza kuiba data zako kirahisi kuhusu spidi ni utata hata mm adi sasa sielewi cha msing nipe mbinu wapi napata unlimited internet nafuu nikiwa nje ya town ao simba net wataniua tu USD 250 per mouth no bora niende smile 180000 unlimited per mouth
Unamwita Mkwawa mshamba..

Aisee mkuu hujafanya poa kabisa.
 
Mkuu, hivi Redmi Note 11 ni Bei gani?
Kwa TZ last time nacheki ni 550,000 version ya 6GB ram na 128GB storage, Tigoshop.

Kenya zinaanzia 380,000 kwa 4GB ram na 64GB storage.

Ila kama una muda pitia Tigo kama wameleta 64GB storage itakua around laki 4.
 
Safi sana hii, hapo maeneo ya mjini mpaka mbezi beach njiani hizo waya pia zitakuwa zimepita, itakuwa si ngumu na wao kuwekewa.
Niliwasumbua hadi nikahamia connect 16, maana hawa walisema Zuku itakuwa tayari Mwezi wa 6

Kweli bana wametupendelea mno kila nyumba, connect atakosa wateja maana inakatika hovyo
 
Jamaa anatukana utadhani jf ndiyo inatoa bei elekezi.

Anaandika typos nyingi mtu anajitolea kumjibu bila kuhukumu yeye anaanza matusi
mshamba sio tusi ni mtu asiuejua kitu sema mmeshazoeshwa matusi io ataukiambiwa apo umekalia gogo utajua ushatukanwa
 
Kama kitu hujui wewe ndio uliza,
Unapigaje hio simu? Kwa hizi viber kutumia server za marekani? Mtafute mtaalamu yoyote wa Networking atakuelezea jinsi network ya jengo inavyoweza kutengenezwa.

Hata wewe unaweza ukatest mwenyewe kwako ama hapo ofisini kwenu, ukiwa na router vifaa vyako vyote vinakuwa on same network, vinaweza kuwasiliana, kushare files, etc.

Sasa Simbanet inafanya Branch za kampuni Zote nchi nzima kuwa on same network.

Kwa Simbanet nimeshaona kampuni fulani system zao zinazofanya kazi. wana software (Erp) inatumika Nchi nzima, report, mawasiliano, data Feeding na mambo mengine yanafanyika ndani ya kampuni tu, hata ukiweka modem ya Voda haifanyi kazi.

Mkiwa on same network mnakuwa secure sababu vitu vyote vinafanyika ndani yenu, server zenu, Voip yenu kila kitu chenu.

Hii graph yao inaelezea vizuri sana
mpls.jpg


Dedicated means mnakubaliana mfano umechagua 5mbps wanakupa Exactly hio speed, wakati shared utaona kabisa wanaandika up to, ikishuka wao huwezi wafanya chochote.

Pia dedicated inakuwa na uptime mliokubaliana, leo zuku inaweza kata siku nzima ama Voda ama Tigo, sana sana wataomba msamaha ama kupotezea, ila dedicated mnakubaliana uptime fulani unaweza kushitaki ama kurefund etc.

Kampuni inayonunua Simbanet likely mtu wa IT haji, pengine ina Team ya watu wa IT wameajiriwa.

Nyuzi kibao zipo Humu, 20mbps Vodacom 115,000 Superkasi. Unlimited.
nipe mchongo baba io naipataje
 
Mkuu umekuja kuuliza, watu wanakujibu , unakuwa mkali na kutukana..

Jifunze kuwa mstaarabu, huyo unayemuita mshamba sisi wote humu tunamtengemea kwenye mambo ya tech na vifaa vya electronics.
mshamba sio tusi ni mtu asiuejua kitu fulan mbona pia nimemsifia jamaa kuna mambo anayajua huyo ila wakuu ilo hamkuona
 
mshamba sio tusi ni mtu asiuejua kitu fulan mbona pia nimemsifia jamaa kuna mambo anayajua huyo ila wakuu ilo hamkuona
Mleta mada una upungufu wa akili kwenye kichwa chako. Yani ww unaleta mada na unajifanya unajua kila kitu. Basi ungepiga kimya maana unajua kila kitu.
 
Mleta mada una upungufu wa akili kwenye kichwa chako. Yani ww unaleta mada na unajifanya unajua kila kitu. Basi ungepiga kimya maana unajua kila kitu.
ww ndio una upungufu wa akili we ebu fikiria kitu fulan unauliza afu unajibiwa unakubali tu eti kisa umejibiwa utauzwa mtu timamu lazima ahoji ili arekebishwe
 
ww ndio una upungufu wa akili we ebu fikiria kitu fulan unauliza afu unajibiwa unakubali tu eti kisa umejibiwa utauzwa mtu timamu lazima ahoji ili arekebishwe
Kwahiyo Hadi hivi sasa, umeona Nani ni mshamba Kati yako na uliemuita Mshamba?
 
Back
Top Bottom