Simbanet internet gharama utata

Niliwasumbua hadi nikahamia connect 16, maana hawa walisema Zuku itakuwa tayari Mwezi wa 6

Kweli bana wametupendelea mno kila nyumba, connect atakosa wateja maana inakatika hovyo
Mkuu niuzie vifaa vya konnect Kama unahama mtandao
 
Hapo nimekuelewa mkuu sio mbaya saf kabsa ntafanya mchakato
Na hiyo super kasi wanafunga kila mikoa au bado wako baadhi tu ya maeneno ya Dar maana najuwa hata Zuku wako kati tu Dar sidhani hata kama mikoa mingine wamefika, Tunaomba darasa ni kina nani wako karibia mikoa mingi sio Dar tu, tupeni darasa humu na sisi tujuwe la kufanya.
 
mshamba sio tusi ni mtu asiuejua kitu fulan mbona pia nimemsifia jamaa kuna mambo anayajua huyo ila wakuu ilo hamkuona
Hakuna kitu kizuri na chepesi kama kusema sorry nimekosea neno dogo lakini ni zito sana. Mwambie tu "Sorry" humu tupeni darasa tujifunze bila maneno ya kejeli na maudhi.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom