Simbachawene ndani ya baraza la Mawaziri!!

Simbachawene ndani ya baraza la Mawaziri!!

Acheni speculations vijana.

Hiyo list mimi nililetewa hapa mezani kwangu kutoka ofisi ya mkuu ilikuwa na jina la Simbachawene, Jenista Mhagama na January Makamba lakini mheshimiwa ametaka aipitie upya so naomba mtulie kwanza, acheni jazba!
 
Watu wengine washamba kweli kweli, yaani mpaka leo bado unawaza kunyoa denge ili onekane Polisi? ushamba mwingine huu ni mzigo.
 
Manabii wa uwongo wapo wengi, wengine watasema Kristo yupo hapa, wengine watasema kristo yuko pale lakini msiwasadiki.

Jamani mnamasifa.
Acheni speculations vijana.

Hiyo list mimi nililetewa hapa mezani kwangu kutoka ofisi ya mkuu ilikuwa na jina la Simbachawene, Jenista Mhagama na January Makamba lakini mheshimiwa ametaka aipitie upya so naomba mtulie kwanza, acheni jazba!
 
Huyu tunacheza naye Pool, akipewa wizara yenye utamu basi Matola na mimi ni heri nijiunge na kundi la wahujumu uchumi, siwezi kutoka kapa huyu jamaa akipata Wizara tamu.

Maana kilichobakia sasa hivi ni kugawana kwanza kilichopo otherwise utajikuta kila siku wewe watoto wako ndio wanarudishwa nyumbani kwa sababu hujalipa school fees.

Jamaa nasoma nae masters ya Mpa(masters of public administration) yuko smart kichwani ila nackia wananchi wake wanalalamika hafiki jimboni kwake wala kupeleka maendeleo.
 
Haki ya nani mna dhambi nyinyi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sijawahi kuona taifa linalongozwa kwa tetesi

yaelekea Ikulu ya Tanganyika kwa sasa imekuwa kama Bar
 
tatizo wapinzani wanachelewa kuvunja baraza la mawaziri kivuli.
 
cv yake vipi .mkumbuke utendaji si ujanja wa kuunganisha herufi za kiswahili ila ni weledi wa uongozi. sasa kama kaishia ftc ataongozaje wizara huyu. sasa watu hawatosoma tena . maana ukiwa na cheti tu tayri waziri. inakera na kukatisha tamaa

Anadegree ya sheria toka open university, kwasasa nafanya nae masters ya mpa. Anampango wa kufanya phd ujerumani mara baada ya kumaliza masters. Source mimi mwenyewe kwani nasoma nae na hata hvi sasa 2nakula lecture.
 
Simbachawene ni mchapa kazi na Muadilifu, kwa vyovyote vile akiwa Waziri atalifaa Taifa letu, I hope Mkuu atapepesukia upande wake...
 
Simbachawene ni mchapa kazi na Muadilifu, kwa vyovyote vile akiwa Waziri atalifaa Taifa letu, I hope Mkuu atapepesukia upande wake...
Ila wewe Sahau kuwa Waziri, endelea na miradi ya Kampuni yako, ulivyomkacha Zitto kusaini ile Fomu kumbe nia yako ilikuwa kunyemelea Uwaziri!!

Shame on you MP, unapitwa ufahamu na uelewa na hata yule Mzee Nimrod Mkono?
 
ni kweli anafaa kuwa waziri hasa akipewa lungu na hasa kwenye kipindi hiki cha uwajibikaji lakini maoni mengi tuulize wapiga kula wake kwani always charity inaanzia nyumbani
 
Eti na wewe ni Waziri wa Afya fafanua hili mkuu
Simbachawene ni mchapa kazi na Muadilifu, kwa vyovyote vile akiwa Waziri atalifaa Taifa letu, I hope Mkuu atapepesukia upande wake...
 
Namtetea Simbachawene yuko smart kiukweli, ofcoz ni muadilifu bt gamba ni gamba2 kunasiku atakuja ku2chefua...hata magufuli aliposema pigeni mbizi ali2chefua ingawa 2namkubali.
 
Eti na wewe ni Waziri wa Afya fafanua hili mkuu
Ni heri arudishwe Mwakyusa kama Wabunge wa CCM wenye sifa hizo wamekwisha, huyu ni mnafki tu, na kamwe hapaswi kuaminiwa kwenye nafasi ya Uwaziri, mtu mbinafsi ni wakuogopwa kama ukoma.
 
Japo si wa itikadi yangu, pamoja na kwamba alipa four ya 28 Olevel Namkubali sana. Amewapita hata magamba wenye degree

Four ya 28 halafu achaguliwe Technical College? labda unamchanganya na mtu mwingine afande wangu.
 
James Mbatia ateuliwa kuwa Mbunge na Rais Kikwete, Tamthilia zinaendelea.
 
Sijawahi kuona taifa linalongozwa kwa tetesi

yaelekea Ikulu ya Tanganyika kwa sasa imekuwa kama Bar

tatizo sio kuwa watanzania tunapenda majungu, tatizo ni kuwa nchi haina kiongozi thabiti,ikulu imekuwa kama kijiwe cha kiswahili/waimba taarabu so kila mtu anapika majungu yake na kila mtu amekaa kimipashomipasho hadi huyo mkuu, mbaya zaidi hata anaowateua hawamuheshimu zaidi ya kumsanifu kwani wanayajua madudu yake lakini wanamnyamazia tu kwa kuwa kashika mpini. WATANZANIA wote wanajua uwezo wa mkulu na maamuzi yake ni zaidi ya ya comedy na ikulu imegeuzwa theatre ya comedy lakini comedy hii haina furaha wala faraja kwa watazamaji zaidi ya hasira na upotevu wa rasrimali za taifa na muda!!! Vingine tuambie kama kuna mtu analipia moderm au net ili apakaze uongo na kisa anafaidika na uongo!!!
 
Back
Top Bottom