Simbachawene live on Star Tv: Gesi itatunufaishaje?

Simbachawene live on Star Tv: Gesi itatunufaishaje?

Hizo blabla za kwenye ma TV hazitawasaidia, kwanini msiende kuongea na wananchi moja kwa moja?. Sisi tunasema tumechoka na uonevu kwa miaka mingi, jambo tunalodai ni la msingi kwa maendeleo yetu na Tanzania kwa ujumla. Gas haitatoka kirahisi kama mnavyofikiri
 
ccm hawana jipya jakuna nchi iliyojengwa kwa kuwekeza viwanda vyote kwenye mji mmoja. ndio maana wimbi la wahamiaji mjini haswa dar kila kukicha linaongezeka na wengi wao wanakuja kuwa vibaka, mateja, machangudoa nk.
 
Back
Top Bottom