Simbachawene kalidanganya bunge?

nimeenda RUHUNDWA, FUFU,MWANAWOTA,LUMUMA,MBUGA na sehemu nyingine nyingi ukitaka kunywa chai ni kwa walimu na viongozi wa vijiji tu huku tunakula ugali asubuhi, atusamehe mbunge wetu labda anamaanisha pale kibakwe stendi
 
Back
Top Bottom