Kweli kila mtu ana tafsiri yake ya chai.On a serious note,
Nadhani ametumia tafsida, chai ni rushwa kwa hiyo ana maana hakuna Mtanzania anayeshindwa kupokea rushwa.
Kwa hiyo hajadanganya bunge hata kidogo
On a serious note,
Nadhani ametumia tafsida, chai ni rushwa kwa hiyo ana maana hakuna Mtanzania anayeshindwa kupokea rushwa.
Kwa hiyo hajadanganya bunge hata kidogo
Simbachawene anastahili kuwaomba radhi wananchi wa jimbo la Kibakwe na watanzania wa tabaka la chini kwa maana kauli yake haiongelei hali halisi ya wananchi wa tabaka la chini na km ukiwekwa into account inaweza kumnyima rizki masikini ambaye amepewa shibe ya kwenye jukwaa ili hali hali ni tete kabisa kiuhalisia
uHuyo jamaa amechanganyikiwa na posho. Ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Yaani kelele zote zinazopigwa hata na wabunge wenzake wa magamba hazieleweki. Huyu ni miongoni mwa wale wanaolala ndani ya bunge. Malizeni Budget muje huku vijijini mtatukuta . Wananchi wameandaa bakora, peoples power itawashughulikia.
Hahahahaaaaaaaaa ni gileti sinka weweOn a serious note,Nadhani ametumia tafsida, chai ni rushwa kwa hiyo ana maana hakuna Mtanzania anayeshindwa kupokea rushwa.Kwa hiyo hajadanganya bunge hata kidogo
upo jimboni kwake???hana adabu mimi mwenyewe sijanywa chai mpaka sasa
Jimboni kwake wamechoka tu kule..wagogo wana shida sana..tatizo akili zao zimekaa kuomba omba tu (samahani sana watani zangu wagogo, ila ndio ukweli). Nimewahi kuwa Kibakwe kule hadi Wota kule mlimani kwa wagogo wahehe (huko wanajua ushirikina tu!!)
On a serious note,Nadhani ametumia tafsida, chai ni rushwa kwa hiyo ana maana hakuna Mtanzania anayeshindwa kupokea rushwa.Kwa hiyo hajadanganya bunge hata kidogo