Simbachawene awataka Watanzania wanaoishi nje ya nchi kufuata taratibu za kisheria

Bandamwagaz

Member
Feb 19, 2020
18
36
SERIKALI imetoa rai kwa watanzania wote wanaoishi nje ya nchi kuzingatia taratibu za kisheria zenye lengo la kuwalinda pamoja na kupata hati za kusafiri nje ya nchi.

Amesema hayo jijini Dodoma wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya siku ya kupinga biashara haramu ya usafirisha wa binadamu duniani, Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema kuwa hakuna haja ya watanzania kurubuniwa na watu wenye nia mbaya wanaojitangaza kuwa na uwezo wa kuwatafutia kazi nje ya nchi au ndani ya nchi bali utaratibu wa serikali ufuatwe.t

"Utaratibu rahisi ni kibali cha mzazi na serikali ya kijiji, anapotoka kuja mjini tunaweza tukajua na kumlinda katika kuangalia haki zake na kuangali... Read more
1597153025603_PIX%201.JPG
1597153049491_PIX%202.JPG
1597153029943_PIX%205.JPG
 
Hakika ni uchumi wa kati..
Waziri wa mambo ya ndani anatoa amri kwa wattu w NJE..
 
Back
Top Bottom