Simba & Yanga zimezima Ripoti ya CAG

Simba & Yanga zimezima Ripoti ya CAG

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,563
Reaction score
7,321
Hizi Simba na Yanga muda mwingine utumika kusahaulisha watu kuhusu mambo mengi yanayohusu Nchi. Leo hii CAG katoa Ripoti lakini vichwa vya habari mitandaoni ni Simba na Yanga na TFF. Ni kama hili jambo linapewa Airtime hili watu wasiongelee mambo ya msingi kama Maendeleo ya nchi yanayoendana Sambamba na ripoti ya CAG.

Ukitazama wananchi wanaoshupalia kuhusu Simba na Yanga ndio hao hao wenye Maisha Duni, ambao badala ya kuwekeza muda mwingi kwenye mambo yenye tija kwenye kujenga nchi kazi yao ni kuimba kivumbi na jasho.

Soma Pia:
Simba na Yanga utumika kama mbinu ya kuwatuliza watu kuweka umakini kwenye siasa au changamoto za kisiasa.

Wanasiasa wakiona kuna sintofahamu, basi utengeneza propaganda kwenye michezo hasa Simba na Yanga kuwasahaulisha wananchi
 
CAG amekuwa akitoa report yake kila mwaka, kwa aina ya watanzania tulivyo tumefanya nini kutatua huo uozo kwenye hizo reports zake?
Watawala washajua hatuna lolote la kuwadanya hata wakiiba kila senti ya nchi hii
Kwa jinsi tulivyo bado tuna safari ndefu ya kujitambua, nchi bado ina masikini wengi ambao muda mwingi bado wanapogania kula yao, uelewa wa watanzania wengi katika mambo muhimu ni mdogo sana hivyo usitegemee watajikita kujadili hili na kuwa na suluhisho, we still have a long walk towards mental and economic emancipation
 
Hizi Simba na Yanga muda mwingine utumika kusahaulisha watu kuhusu mambo mengi yanayohusu Nchi. Leo hii CAG katoa Ripoti lakini vichwa vya habari mitandaoni ni Simba na Yanga na TFF. Ni kama hili jambo linapewa Airtime hili watu wasiongelee mambo ya msingi kama Maendeleo ya nchi yanayoendana Sambamba na ripoti ya CAG.

Ukitazama wananchi wanaoshupalia kuhusu Simba na Yanga ndio hao hao wenye Maisha Duni, ambao badala ya kuwekeza muda mwingi kwenye mambo yenye tija kwenye kujenga nchi kazi yao ni kuimba kivumbi na jasho.

Soma Pia:
Simba na Yanga utumika kama mbinu ya kuwatuliza watu kuweka umakini kwenye siasa au changamoto za kisiasa.

Wanasiasa wakiona kuna sintofahamu, basi utengeneza propaganda kwenye michezo hasa Simba na Yanga kuwasahaulisha wananchi
sidhani kama contention yako ni ya kweli. why? , maana wote wanaoshabikia mambo ya mipira hakuna mwenye akili ya kujadili technical issues kama hizi. 99% ya wanaoshabikia Yanga -Simba ni ig orant of pressing issue confronting this nation! Simba -Yanga ni football Hooliganism mentality funs......
 
tulieni dawa ituingie vizuri tuendelee kupigwa na fisiem deni la taifa karibia trln 100 na bado ni himilifu
 
sidhani kama contention yako ni ya kweli. why? , maana wote wanaoshabikia mambo ya mipira hakuna mwenye akili ya kujadili technical issues kama hizi. 99% ya wanaoshabikia Yanga -Simba ni ig orant of pressing issue confronting this nation! Simba -Yanga ni football Hooliganism mentality funs......
Hizo 99% lkn ni watanzania hao
 
Back
Top Bottom