Simba wapokea fedha za Okwi walizokuwa wanadai

Klab ya simba imepokea mzigo wa dola laki tatu kutoka etoil sportive du sahel rasmi sasa kazi kwao uwanja bunju za samata 20% znasubiriwa uwanja huwooo yanga mtabaki na bwawa lenu la samaki source EFm
Dollars laki Tatu ukajenge uwanjani!!!!
 
Wale machotara wawili washaprleka info za fedha walizoikopesha timu.
So wataanzwa kulipwa wao.
 
...uwanja wa bunju watajidai wameusahau,watakuja kuukumbuka wakishamaliza kulipana hizo pesa.
Wale machotara wetu matapeli sana.
 
Ukitaka kujua kati ya timu hizi hazishindwi kumiliki kiwanja au kitu chochote kizuri, ngoja mmoja aanze kuwa nacho uone yule mwingine kama atashindwa kumiliki.
 
timu zinapewa ruzuku na serikali lakin hakuna la maana wanalofanya
 
Ule uwanja wanaoukodi kwa ajili ya mazoezi umegharimu sh70M sasa kwanini wasijenge chao cha mazoezi kitakachowagharimu 200M wakaacha kukodi?
 
Back
Top Bottom