Mbassa one
New Member
- Jul 8, 2025
- 3
- 8
Waliandaa mpka tishert za ubingwa lakini ikawa tofauti... hivyo kontena nzima ya hizo tishert hazivaliki
Wagawe bureWaliandaa mpka tishert za ubingwa lakini ikawa tofauti... hivyo kontena nzima ya hizo tishert hazivaliki View attachment 3399608
Waliandaa mpka tishert za ubingwa lakini ikawa tofauti... hivyo kontena nzima ya hizo tishert hazivaliki View attachment 3399608
Za buku 2.Waliandaa mpka tishert za ubingwa lakini ikawa tofauti... hivyo kontena nzima ya hizo tishert hazivaliki View attachment 3399608
Pole umekutwa na jiwe gizani?Ila bado ziliihusu simba na ubingwa.KARIBU SANA JAMII FORUM MKUU.
Hapa ni Home of great thinkers
Sio sehemu ya Wajinga na wapotoshaji.
Hizo Tshirt hazijaandaliwa na Simba, wala hazijatengenezwa na Simba.
Hizo Tshert (Form six).
Ziliandaliwa na NBC bank kwa kushirikiana na TFF.
ZILIANDALIWA KWAAJILI YA BINGWA KWENYE MCHEZO WA MWISHO WA LIGI KUU SIMBA NA YANGA.25-6-2025.
FICHA UJINGA AISEE.


October tunaenda na Prof Samia kiongozi wa kasi na ubunifu.
Miradi mizito, Mafanikio ni kila kona: diplomasia, uchumi, kilimo, afya, na uwekezaji
huku sauti ya Tanzania ikisikika dunia nzima.
Tuna kila sababu za kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan profesa wa siasa na uongozi
Oktoba ni mitano tena bila kupinga!
#KaziNaUtu
#TunasongaMbele
Kwani si wafute hilo neno BINGWA ili hizo amba rutty zao wawauzie Madunduka wao.Waliandaa mpka tishert za ubingwa lakini ikawa tofauti... hivyo kontena nzima ya hizo tishert hazivaliki View attachment 3399608
Pole umekutwa na jiwe gizani?Ila bado ziliihusu simba na ubingwa.