Simba wana TFF Yanga wana Mungu, wote sare

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
 
Mpira wa Tz 🚮 hawa jui kuwa kiwango cha timu huwa kuna mda kinashuka tu
 
Hata kabla sijaanza kusoma huu uzi nataka nikuhakikishie ulichokiandika ni Vice versa. Tena Yanga si tu wana TFF bali na ushirikina pia
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
Sare tatu tu mmeanza malalamiko.
 
Ligi yetu ishakuwa ujinga. Tusubiri msimu ujao tufurahie club bingwa angalau kidogo huwa kuna burudani.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
 
Najiuliza sana kwamba, kwa nini Simba hawachezi na wanakuwa na mechi viporo vingi..!!!???

Pia toka hii ligi ianze msimu huu Yanga ndio lazima itangulie kucheza kisha ndipo Simba ifuate, angalia vizuri toka hii ligi imeanza ni hivyo hivyo.

Kuna namna bodi ya ligi inatumiwa nafikiri na yule msomali kuhakikisha kwamba Simba inachukua ubingwa msimu huu.

Bila shaka wanaachiwa viporo ili ije kuwa rahisi kutengeneza matokeo kwa kununua mechi na kuibuka washindi. Hii nchi kila kitu ni cha hovyo tu hamna kitu kizuri. Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…