ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,859
No binadamu ni mnyama tofauti na haoSasa mkuu, ukiongelea ecology, basi na binadamu wasitibiwe ili ku balance nature.
kutokana na utashi wake
No binadamu ni mnyama tofauti na haoSasa mkuu, ukiongelea ecology, basi na binadamu wasitibiwe ili ku balance nature.
Kwan simba wameisha?Huyo simba kuna watu wanalipa madolari kuja kumuona na kumpiga picha kuna ubaya akitibiwa ili aendelee kuleta mpunga ambao utajenga hospitali na shule na ajira na kadhalika na kadhalika au we unaoje ndugu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mimi nitajitolea kumlea na kumtunza na endapo akipata mchumba nipo tayari kumlipia mahari
Dawa ni mbweha nao kugoma kuzaliwa eneo hilo.Binadamu tunaingilia sana utaratibu wa asili, kuna mahali huko america waliamua kuua mbweha wakidhani kuwatowesha itawaacha salama, lakini matokeo yake miaka 15 baadae eneo likaanza kuwa jangwa, mto ukakauka, kumne uwepo wa wale mbweha ulisaidia kufanya eneo lishamiri kwa kuwa kuna wanyama wengine(jina nimelisahau) wanazaliana sana na wanakula majani hivyo mbweha walikua wanaweka uwiano na kufanya eneo lishamiri na kupendeza, baada ya study kadhaa wakagundua hilo hivyo wameamua kuanza kuzalisha mbweha maeneo hayo.
Utakuwa umesoma BSc. RAM wewe! Au course ya biodiversity!!Binadamu tunaingilia sana utaratibu wa asili, kuna mahali huko america waliamua kuua mbweha wakidhani kuwatowesha itawaacha salama, lakini matokeo yake miaka 15 baadae eneo likaanza kuwa jangwa, mto ukakauka, kumne uwepo wa wale mbweha ulisaidia kufanya eneo lishamiri kwa kuwa kuna wanyama wengine(jina nimelisahau) wanazaliana sana na wanakula majani hivyo mbweha walikua wanaweka uwiano na kufanya eneo lishamiri na kupendeza, baada ya study kadhaa wakagundua hilo hivyo wameamua kuanza kuzalisha mbweha maeneo hayo.
Na wanapenda maparachichi hao hatariiHapo bajeti ya simba itakua milion kadhaa kwa siku.... Ili apate mtori, matunda, juice n.k
DuhHapo bajeti ya simba itakua milion kadhaa kwa siku.... Ili apate mtori, matunda, juice n.k
Mawazo ya kipuuzi kabisa.kwanini wahangaike na simba ambaye faida yake si direct waachane na mama wajawazito kule mwananyamala, vipaumbele buana
Unajua bei ya simba mkuu ?ni bora atibiwe auzwe kuliko aachwe afe simba mmoja akiuzwa anajenga zahat ya kijiji uwanja wa ndege wa kijiji na dreamliner za kutosha acha apate afya kwanzaKwan simba wameisha?
Yapi?ya kuhangaika na simba au ya kuacha wanamama wajawazito?!Mawazo ya kipuuzi kabisa.
hhahahahaha logical reasoningSasa mkuu, ukiongelea ecology, basi na binadamu wasitibiwe ili ku balance nature.
Mkuu wamebakia simba 20,000 tu Africa na kati ya hao 20,000 Tanzania inabeba karibia 90%-95% ya simba hao 20,000 waliobaki ,kuna simba elf kumi na kadhaa TanzaniaKwan simba wameisha?
Simba wanasimamiwa na mamlaka ya maliasili na utalii na wanyama pori ,wajawazito wanasimamiwa na wizara ya afya na ustawiYapi?ya kuhangaika na simba au ya kuacha wanamama wajawazito?!
NimekuelewaSimba wanasimamiwa na mamlaka ya maliasili na utalii ma wanyama pori ,wajawazito wanasimakiwa na wizara ya afya na ustawi
Basi hao wajawazito wakaishi kwenye hifadhi za wanyama ili pindi wakitaka kujifungua idara ya wanyama pori itukie budget yake kuwatibia
Mnapenda kuingilia idara na taasisi zingine acheni kila idara ifanye kazi kwa ufanisi na utaratibu wao kwani hao wanyama hawalipi kodi ?...