Simba wamfariji Kwa chochote refa aliyefungiwa

Bahati mbaya kwenye ligi lazima ucheze mechi zote, hakuna nafasi ya kuchagua mechi 😂😂😂
Kiongozi wenu alisema hamchezi mpka waliosababisha mchezo kuvunjika wawajibishwe sisi hatuwezi kucheza bila mabaunsa kukamatwa maana yake mtazuiliwa tena
 
Mpira hauendeshwi kwa kauli za vilabu, Mpira unaendeshwa na mamlaka, for our case ni TFF.
 
Back
Top Bottom