Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,011
- 32,907
- Thread starter
- #41
HakufungiwaKayoko alikula mkeka miezi mingapi?
Mtacheza na CASMarch 8 hakukuwa na ratiba ya mechi yoyote inayoihusu Simba, hadi CAS wanajua
Lete barua ya TFF kumfungiaKayoko alipofungiwa mlimfariji na nini
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbeKwani aliboronga bure? Alilipwa mshahara wake wa hiyo miezi 6, hakuna alichopoteza. Adhabu ingekuwa kufutwa kabisa kuwa mwamuzi NBC PL.
Kayoko Hajawahi fungiwaUbaya ubwela umebalance sasa vizuriii kabissa....
Kayoko vs Heri sasii...
Safi sanaa
At least ujumbe umefika mkuu..... kufungiwa ameonekana ni kilazaHuko kufungiwa kwenyewe kwa mchongo... Unamfungiaje refa miezi ambayo ligi itakuwa imeshasimama!!
Sanasana atatumikia adhabu yake kwa miezi miwili na sio 6..
Tff wanajikosha tu.
At least ujumbe umefika mkuu..... kufungiwa ameonekana ni kilaza
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Washabiki hamchezi. Lakini wachezaji wa Yanga watachezaHatuchezi
Mbungi lazima ipigwe..Washabiki hamchezi. Lakini wachezaji wa Yanga watacheza
Tunahitaji changamoto mpya bora tucheze na Tabora sio nyie kila siku tunawabondaYes, na ndio maana tunataka mje mtufunge June 15, tena bila Aziz Ki aliyehama na Pacome aliyeomba ruhusa kurudi home hadi msimu mpya
Anza wewe kutuambia kaanza kuchezesha mechi muda gani baada ya derby ya kwanza
Alikuwa anaumwa....Baada ya makolo kumpiga kipai Pai[emoji23][emoji23]Anza wewe kutuambia kaanza kuchezesha mechi muda gani baada ya derby ya kwanza
Bahati mbaya kwenye ligi lazima ucheze mechi zote, hakuna nafasi ya kuchagua mechi 😂😂😂Tunahitaji changamoto mpya bora tucheze na Tabora sio nyie kila siku tunawabonda
Punguza bange...