ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,682
Kama nyie tunavyo wafunga kwenye ligiNi mchezo wa Ligi.
Kwenye ligi tutamfunga Singida maana mechi zote za ligi tumemfunga tangu ianzishwe
Kama nyie tunavyo wafunga kwenye ligiNi mchezo wa Ligi.
Kwenye ligi tutamfunga Singida maana mechi zote za ligi tumemfunga tangu ianzishwe
Kwani aliboronga bure? Alilipwa mshahara wake wa hiyo miezi 6, hakuna alichopoteza. Adhabu ingekuwa kufutwa kabisa kuwa mwamuzi NBC PL.HERRI SASII amefungiwa miezi sita (6) kuchezesha mechi kutokana na kutolimudu na kushindwa kutafsiri sheria 17 za mchezo wa soka kwenye mechi ya Simba dhidi ya Singida.
Kwann wanapaswa kumfariji refa
.... kwasababu ndio wanufaika wakuu wa marefaView attachment 3356284
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
kwani KMC COMPLEX ulifungiwa? tukikisema tunachezea kirumba au z'bar?Hakuna timu inaweza kulazimisha uwanja wa nyumbani iutakao hata kama ni mbovu. Ndio maana unasikia mara Sokoine, mara Jamhuri, mara sijui Ali Hassan Mwinyi, vimefingiwa hadi ukarabati ufanyike. TFF ndio waamuzi wa mwisho
Yes, na ndio maana tunataka mje mtufunge June 15, tena bila Aziz Ki aliyehama na Pacome aliyeomba ruhusa kurudi home hadi msimu mpyaKama nyie tunavyo wafunga kwenye ligi
Mamlaka za mpira ndio wenye say ya mwisho. Simba walitaka kucheza Lupaso lakini CAF wakasema Amaan Zanzibar.kwani KMC COMPLEX ulifungiwa? tukikisema tunachezea kirumba au z'bar?
ivi nyie Simba mmedhamiria kabisa mfungwe na Yanga mara tano mfululizo?Ni mchezo wa Ligi.
Kwenye ligi tutamfunga Singida maana mechi zote za ligi tumemfunga tangu ianzishwe
Ndio tumedhamiria, lakini baada ya kuchezaivi nyie Simba mmedhamiria kabisa mfungwe na Yanga mara tano mfululizo?
Angalia kenge hii,anaeamua uwanja upi utumike ni team mwenyeji,je lini Yanga wametoa tangazo kua Lupaso itatumika?Je Yanga wakisema watatumia uwanja wao wa nyumbani ambao ni KMC COMPEX?Uwanja wa Lupaso umepitishwa kutumika katika dabi ya June 15.
tunaitaka bodi itoe uamuzi kwa nini july 8 walihairisha? Mbona kamati ya usimamizi wa ligi imemfungia herri sasii mda mfupi baada ya game ya mikia vs sbs hili la maamuzi ya dabi mbona linakuwa suala gumu?Ndio tumedhamiria, lakini baada ya kucheza
Ahsante sa sana tatuHuyo Kepha Kayombo pamoja na wenzake 3 (Tatu Malogo, Japhet Smart, Shomary Lawi na yule mwamuzi wa pembeni Amina Kyando) huwezi kusikia wamefungiwa. Na yote hii ni kwa sababu inajulikana wazi wanachezesha mechi za simba kwa maelekezo maalum kutoka juu.
KMC sio uwanja wa Yanga, ni wa Manispaa ya Kinondoni. Yanga inapangiwa kiwanja chochote maana hata cha mazoezi hainaAngalia kenge hii,anaeamua uwanja upi utumike ni team mwenyeji,je lini Yanga wametoa tangazo kua Lupaso itatumika?Je Yanga wakisema watatumia uwanja wao wa nyumbani ambao ni KMC COMPEX?
Aah! Kumbe ndio kiliwakimbiza March 8Yes, na ndio maana tunataka mje mtufunge June 15, tena bila Aziz Ki aliyehama na Pacome aliyeomba ruhusa kurudi home hadi msimu mpya
March 8 hakukuwa na ratiba ya mechi yoyote inayoihusu Simba, hadi CAS wanajuaAah! Kumbe ndio kiliwakimbiza March 8
HatucheziUwanja wa Lupaso umepitishwa kutumika katika dabi ya June 15.
Simba inaharibu vibarua vya marefaMakubwa tena haya kijana wangu
Mbona lile lilikuwa goli saaafi kabisa mkuu.... that's y hakufungiwaYanga mlimpa bilioni ngapi kayoko