Simba wamfariji Kwa chochote refa aliyefungiwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
HERRI SASII amefungiwa miezi sita (6) kuchezesha mechi kutokana na kutolimudu na kushindwa kutafsiri sheria 17 za mchezo wa soka kwenye mechi ya Simba dhidi ya Singida.

Kwann wanapaswa kumfariji refa
.... kwasababu ndio wanufaika wakuu wa marefa
1749080914203.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
HERRI SASII amefungiwa miezi sita (6) kuchezesha mechi kutokana na kutolimudu na kushindwa kutafsiri sheria 17 za mchezo wa soka kwenye mechi ya Simba dhidi ya Singida.

Kwann wanapaswa kumfariji refa
.... kwasababu ndio wanufaika wakuu wa marefaView attachment 3356284

Uwanja wa Lupaso umepitishwa kutumika katika dabi ya June 15.
 
Yanga mlimpa bilioni ngapi kayoko
 
Uwanja wa Lupaso umepitishwa kutumika katika dabi ya June 15.
nani kaupitisha na nani ana mamlaka ya kuichagulia uwanja Young Africans SC katika mechi zake za nyumbani?.
umepitishwa labda kwa mchezo wa june 15 kati ya TFF,BODI YA LIGI FC VS MIKIA SASII FC
 
Hakuna timu inaweza kulazimisha uwanja wa nyumbani iutakao hata kama ni mbovu. Ndio maana unasikia mara Sokoine, mara Jamhuri, mara sijui Ali Hassan Mwinyi, vimefingiwa hadi ukarabati ufanyike. TFF ndio waamuzi wa mwisho
 
Back
Top Bottom