Watunze ticket mpaka mechi nyingine, ila nao wamezidi, dubby ya kkoo tari walishakula helaSimba na TFF walitumiwa barua ya kuwapa taarifa kuwa mchezo wao wa fainali dhidi ya RS Berkane kuwa utachezwa Zanzibar Toka tarehe 14 May, 2025
Viongozi wa Simba wakijua hii taarifa waliwapa taarifa kuwa wawndelee kununua tiketi za uwanja wa Benjamin Mkapa
Viongozi wa Simba, TFF na Serikali walikwaminisha mashabiki wa Simba uongo ati mechi ipo Kwa Mkapa, wakati wakijua CAF hawaendeshwi kama akina Mguto
Sasa hapa tunajiuliza watu zaidi ya elfu 20 wameshakata ticket za kuingia Kwa Mkapa na Kwa uchumi wa watu wetu mtu hawezi kutoka Buza akaenda kutazama mchezo huo Zanzibar
Je Simba watauza tickets nyingine za kuingia New Amaan complex siku Jumamosi?
Huu ni utapeli wa wazi
bado member mdogo sana mkuu,utaliwa na mamba zoea kuleta taarifa za undwazi sasa.Tulia
Sasa unataka aleta taarifa unazotaka wewe?. Acha ukora wewe asee.. ukweli ndio huo.. kilichofanyika ni upuuzi wa viongozi wa simba na Serikali.bado member mdogo sana mkuu,utaliwa na mamba zoea kuleta taarifa za undwazi sasa.
Ule ni wizi wa wazi kabisa, hii mission mazingira yanaonesha ilikuwa imepangwa kimkakati kati ya TFF, viongozi wa Simba na vijiwe vyao propaganda 🤣Simba na TFF walitumiwa barua ya kuwapa taarifa kuwa mchezo wao wa fainali dhidi ya RS Berkane kuwa utachezwa Zanzibar Toka tarehe 14 May, 2025
Viongozi wa Simba wakijua hii taarifa waliwapa taarifa kuwa wawndelee kununua tiketi za uwanja wa Benjamin Mkapa
Viongozi wa Simba, TFF na Serikali walikwaminisha mashabiki wa Simba uongo ati mechi ipo Kwa Mkapa, wakati wakijua CAF hawaendeshwi kama akina Mguto
Sasa hapa tunajiuliza watu zaidi ya elfu 20 wameshakata ticket za kuingia Kwa Mkapa na Kwa uchumi wa watu wetu mtu hawezi kutoka Buza akaenda kutazama mchezo huo Zanzibar
Je Simba watauza tickets nyingine za kuingia New Amaan complex siku Jumamosi?
Huu ni utapeli wa wazi
Mnyambo wa kyerwa.Ndo nani?
Watashangiria sana ila watashangiria waarabu ...kama nilivyo sema waislamu wana akili finyu tena waislamu wazanzibar ni zaidi kwa ufinyu wa akili.Wazanzibar wenyewe tu wanajitosheleza kuujaza uwanja huo wa new amaan complex,ila ubaya wake ni kuwa wazanzibar ni watu wa watulivu na hawashangilii, wanachofanya hata kama mchezaji wa timu pinzani akifanya vizuri uwanjani utawaona wakipiga makofi na vigeregere vya nguvu jukwaani.
sio taarifa hii ninayoizungumzia,JANA mchana alileta taarifa ya kuwa "CAF wakubali yaishe waruhusu uwanja wa mkapa kutumika,kisha jana jioni akateta taarifa hiiSasa unataka aleta taarifa unazotaka wewe?. Acha ukora wewe asee.. ukweli ndio huo.. kilichofanyika ni upuuzi wa viongozi wa simba na Serikali.