Simba wamepewa ulinzi

Tunaomba ulinzi uimarishwe,Jana jioni watu wasio fahamika,wakiwa wamevalia tisheti za njano zipo kama chupi ya ex wangu mwajuma walinirushia mawe baada ya matokeo na Al Ahl kutoka!
Chonde chonde serekale tutakufwa ulinzi unahitajika kipindi hiki kwa wana mchimbazi wote! cc Mambosasa.


Nadanganya wadau?
 
Haahhaha ngoja tulifikishe kwa waziri wa ulinzi washughulikie hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…