Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

tunakimbilia kufukuza makocha pasi ya kuwekeza ktk soka,ingekuwa kufukuza ni suluhu basi liverpoor ya UK ingekuwa na makocha 1000
 
Wapi baa muuza aka bahuzi
 
Kwa wale wa dstv supersport 9 ngoma ipo laivu
 
Mbuyu Twite kalimwa kadi ya njano.
 
kamoja tuuuuu nimechoka kungooooojaaaaaaaaa kamoja tuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…