Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Kaseja ananinginizwa. Maskini anatia huruma...1-1.
 
Simba tatizo tunabutua tunatakiwa tutulie Game yetu tusiwaalike matokeo ndio kama hayo Penalt na Goal grrrrrrrr.
 
naona namba 5 yanga anaanza kupoteza muda enheee...
 
Nasisitiza yule mtabiri ni noma hii game Yanga 2 Simba 1
 
Reactions: SMU
Haruna Moshi 'Boban' anakaribia kuingia......Mchezaji mwenye kipaji Tanzania kwa sasa....

Namuogopa na kumheshimu sana huyu mtu...
 
Dah!...............Kavumbanguuuuuuuuuuuuu

Kaseja anadaka
 
simba angalieni au mnakubali huo utabiri wa sangoma?
 
Oooooooooooooooooh, poor Simba! Angriiiiiiiiiiiiiiiii!
 
minziro daily analia tu sijui lini atakuwa na furahaa heheheeee
 
Boban kaja kuchukua Red Card ila naomba tu apige bao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…