LwandaMagere
JF-Expert Member
- Mar 15, 2020
- 264
- 2,489
- Thread starter
-
- #41
Hapana mkuu, simba wameumbwa kupigana (warrior cat) na tiger ameumbwa kuua (killer cats).
Hiko hivi wakikutana mbugani Kati ya simba na tiger, tiger ni mnyama wenye madharau atakimbia na kuondoka.
Lakini ikitokea wakifungiwa kwenye cage sioni nafasi ya simba kuchomoka. Tiger anazo advantage nyingi sana kuliko simba, unaambiwa kofi moja la tiger lina KG 80.
Mkuu jaguar ni mweusi, hapa namzungumzia chui huyu mwenye mabaka nikipata link ntaiweka hapaSidhani kama uko sahihi huyo unaemsema wewe anaitwa jaguar π anapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator π ... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth π ) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator theyβre more like lizards than mazafaka crocs
Upo sahihi sema,nimeona video nyingi za mapampano ya Tiger na Simba mwishoni Tiger huwa anashindwa ni kutokana na kuchoka. Hawezi kupigana muda mrefu,yeye ana attack kali yenye uhakika na kwa muda mfupi tofauti na simba ambaye ana uwezo wa kupambana muda mrefu.Kama watakua na umri sawa tigerwill win ...judging by the size tiger is more heavy than lion (200kg vs 235kg)...AGGRESSIVENESS tiger is more aggressive than lion ... so if same age ... same sex lion stands no chance
exceptional cases zipo mkuu, hata Dar kuna lipaka huwa linapostiwa kwenye mitandao linakimbizwa na panya.Simba wapo overrated sana hamna kitu mulee...yani hata nyani mnampiga simba mkwara, niliona nikashangaa mnooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni pumaMkuu jaguar ni mweusi, hapa namzungumzia chui huyu mwenye mabaka nikipata link ntaiweka hapa
Na huyu chui inafahamika chakula chake anachokipendelea ni mamba
kuna mijusi flani wewe ndio unaiita mambaMkuu jaguar ni mweusi, hapa namzungumzia chui huyu mwenye mabaka nikipata link ntaiweka hapa
Na huyu chui inafahamika chakula chake anachokipendelea ni mamba
mkuu fisi ndio mwenye misuli yenye nguvu ya taya kuliko mwanyama woteNakurekebisha ,kiboko(hippopotamus) ndiye mnyama mwenye mng'ato wenye nguvu zaidi duniani (strongest bite on earth).
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama uko sahihi huyo unaemsema wewe anaitwa jaguaranapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator theyβre more like lizards than mazafaka crocs
Hapana niko sahihi strongest bite on earth π wa kwanza nia mamba wapili ni MAMBA (1. Salt crocodile wa kule India 2.Nile crocodile wa pale Nyumba ya Mungu 3.Hippopotamus ) Hippo π¦ anashikilia ya record ya mammals wote duniani Crocs wanashikilia ya wanyama wote dunianiNakurekebisha ,kiboko(hippopotamus) ndiye mnyama mwenye mng'ato wenye nguvu zaidi duniani (strongest bite on earth).
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu fisi ndio mwenye misuli yenye nguvu ya taya kuliko mwanyama wote
Kuna jaguar π wa rangi mbili kuna weusi na ambao wanafanana na chui hata chui kuna weusi japo ni nadra kuwaona lakini wapoMkuu jaguar ni mweusi, hapa namzungumzia chui huyu mwenye mabaka nikipata link ntaiweka hapa
Na huyu chui inafahamika chakula chake anachokipendelea ni mamba
ata mimi nilikosea ,pia wewe
Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
Chui Ni leopard...tiger Ni tigerNi nani hasa?
Yes! Ni sawa mkuu nimechimba kidogo upo sahihi kwa 100%Hapana niko sahihi strongest bite on earth π wa kwanza nia mamba wapili ni MAMBA (1. Salt crocodile wa kule India 2.Nile crocodile wa pale Nyumba ya Mungu 3.Hippopotamus ) Hippo π¦ anashikilia ya record ya mammals wote duniani Crocs wanashikilia ya wanyama wote duniani
Upo sawa mpangilio wa wanyama wenye nguvu na wawindaji hodar 1. Ni jagwa. 2 African lion 3. Tiger. 4ndo utakuta chui na wengine wanafata. Pia kwa wanaosema jagwa hawind mamba bas sio wafuatiliaji wa wanyama. Most jagwa anapendelea kukaa kwenye misitu minee kama Amazon hivo chakula chao kikuu ni mamba na viumbe wengine wanaopatikana misituni. Simba anapewa heshima kwasababu tu anavumilia sana wataalamu wanasema simba mmoja anaweza kuwinda prey aliyemzid mara mbili tofaut na hapo itabid wawe kund kubwa ndo wapate chakula. Ila jagwa anasifika kwa kuwinda mwenyewe na huwa akimbiz yy anateka anakamata na kuua.Simba kupewa ufalme wa Pori si kwamba ata win kila battle ila ni ule ujasiri wake wa Kuto kuogopa Chochote kile Simba ana patience kubwa na yupo tayari kufa katika battle field hakati tamaa hata kidogo, Chui akiona haelewi tu ni mbio kitu ambacho simba hana ni mara chache ukute battle yao katika open space kwanza chui hana time na simba akishamuona ataendelea na mishe zake ila in real sense ukiwaweka kwenye Cage basi Simba ana likely chance ndogo sana kuchomoka mana Chui yupo na advantage nyingi sana haswa flexibility compare na simba. Tiger ni msala sana wazee ni kama unavyo ona ujinga wa Mbwa kujimwambafai akiwa na binadamu wanakimbiza Paka kwa support ya binadamu na mbwa wako wengi paka ana weza kupoteza ila fungia kwenye cage wawili ndo utajua Mbwa hafui dafu hata kidogo