Simba vs Moro, Azam FC vs Mtibwa Sugar

Simba 1 na Moro 0 goli limefungwa dakika ya 16 na Mafisango
Azam FC 1 na Mtibwa 1 wafungaji Salum Swedi na Mrisho Ngasa
FT Simba 3 na Moro 0
FT Azam FC 1 Na Mtibwa 1

Simba Bingwa...................

Simba hajawa bingwa bado mkuu. Mechi ya azam imeisha kwa mtibwa kugomea penati, so azam automatically ana point tatu, simba wanahitaji point moja zaidi kujitangazia ubingwa. Anything can happen katika soka, waulize Barca wanajua soka ni nini
 
Simba 1 na Moro 0 goli limefungwa dakika ya 16 na Mafisango
Azam FC 1 na Mtibwa 1 wafungaji Salum Swedi na Mrisho Ngasa
FT Simba 3 na Moro 0
FT Azam FC 1 Na Mtibwa 1

Simba Bingwa...................

Hongera simba!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nani mwenye magoli mengi kati ya Simba na Azam? Maana ubingwa utaamliwa na mechi ya mwisho.
 
Je Azam FC inanunua mechi tangu mechi ya Azam na Yanga tuliona kadi nyekundu, mechi ya Polisi na Azam mchezaji wa Polisi alipewa kadi nyekundu, leo mechi ya Azam na Mtibwa tumeona kadi nyekundu....je Azam wanafanya mchezo mchafu?

Azam vs Yanga, refa kadundwa; Azam vs Polisi, refa kadundwa. Jana Mtibwa ili kujiepusha na wachezaji wao kufungiwa waliamua kususia mechi.
Azam pamoja na kuleta changamoto mpya wamekuja kuvuruga zaidi soka la Bongo.
 
presha mbaya sana hasa uwe na mawazo negative..
 
Back
Top Bottom