Lazima apigwe tu...akuna namnana msimu huu hayupo vizuri yupo mkiani uko Ana burazana na kina biashara
Mi nashauri viporo vilivyobaki tucheze mechi siku moja tuvimalize, kwasababu tuna kikosi kipana kinacho gawikaHivi Mtani kwa kikosi hiki kipana kwa nini wasitupangie viporo vyetu kila baada ya siku mbili tukamalizana navyo?
Hahahaa. Na siku ya kupatwa najua wote simu zenu mitandao itakuwa chini / kuisha chaji au kama 100 Likes akiwepo basi anakuwa mdoogo kama piriton.
Huu ndio ukweli MCHUNGU ! Matola ana roho ngumu sana kwa Timu yake !
Irudi tu Mtani tupate kunyooshana.Sawa Mtani, kulikuwa na mechi ya Mtani Jembe miaka michache nyuma, hivi hatuwezi kuangalia utaratibu wa kurudisha mechi ile?
Mi nashauri viporo vilivyobaki tucheze mechi siku moja tuvimalize, kwasababu tuna kikosi kipana kinacho gawika
Sent using unknown device
Mi nashauri viporo vilivyobaki tucheze mechi siku moja tuvimalize, kwasababu tuna kikosi kipana kinacho gawika
Sent using unknown device
Irudi tu Mtani tupate kunyooshana.
Acha kabisa Mtani. Na hata Vifurushi vya Internet watu hawajiungi siku hiyo. Sababu magroup ya Makazini saa nyingine ukiyawaza basi unaona bora kutokujiunga tu maana inakuwaga hatari.Hahaha, Mtani simu huwa zinakuwa nzito siku mambo yakienda ndivyo sivyo, radio na TV unaachana navyo kwa muda maana unaona kama vitakukumbusha.
Ndio Mkuu, THI5 I5 SIMBA.Huu ni msako wa nyumba kwa nyumba..tukikuta Bata, Kuku,mbwa au paka ni halali yetu...yaan hatuachi kitu
THIS IS SIMBAAAAAAAA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vingi sana viporo, labda mechi mbili kila siku. Kagere na Okwi kila mmoja aongoze kikosi chake.
Mi nashauri viporo vilivyobaki tucheze mechi siku moja tuvimalize, kwasababu tuna kikosi kipana kinacho gawika
Sent using unknown device
Acha kabisa Mtani. Na hata Vifurushi vya Internet watu hawajiungi siku hiyo. Sababu magroup ya Makazini saa nyingine ukiyawaza basi unaona bora kutokujiunga tu maana inakuwaga hatari.
Unaweza kosa pa kutokea.
Ndo ushabiki ulivyo, muhimu ni kuchukulia simple, ukiwa serious unaweza kuugua bure wakati kina Kindoki ambao ndiyo waliofungwa wanajipoza kwa kinywaji.
Ila nyie. Ingekuwa inawezekana sijui ingekuwaje aiseee.
Mmesahau maneno kama haya aliyasema Manara ambayo mwisho wa siku baada ya kufungwa na mashujaa aliyakataa.
Matokeo yakawaje mtani?Kwani Mtani umesahau kama tulicheza Muungano leo, kesho yake tukacheza ligi ya mabingwa na kesho kutwa yake tukamaliza Muungano. Ilikuwa Jana, Leo na Kesho tunaita.
Matokeo yakawaje mtani?