Simba VS Lipuli...Kiporo kigumu sana

Hahaha, Mtani simu huwa zinakuwa nzito siku mambo yakienda ndivyo sivyo, radio na TV unaachana navyo kwa muda maana unaona kama vitakukumbusha.
Acha kabisa Mtani. Na hata Vifurushi vya Internet watu hawajiungi siku hiyo. Sababu magroup ya Makazini saa nyingine ukiyawaza basi unaona bora kutokujiunga tu maana inakuwaga hatari.

Unaweza kosa pa kutokea.
 
Ila nyie. Ingekuwa inawezekana sijui ingekuwaje aiseee.

Mmesahau maneno kama haya aliyasema Manara ambayo mwisho wa siku baada ya kufungwa na mashujaa akaisahau kabisa kwamba mna kikosi kipana
Ni vingi sana viporo, labda mechi mbili kila siku. Kagere na Okwi kila mmoja aongoze kikosi chake.
Mi nashauri viporo vilivyobaki tucheze mechi siku moja tuvimalize, kwasababu tuna kikosi kipana kinacho gawika

Sent using unknown device
 
Acha kabisa Mtani. Na hata Vifurushi vya Internet watu hawajiungi siku hiyo. Sababu magroup ya Makazini saa nyingine ukiyawaza basi unaona bora kutokujiunga tu maana inakuwaga hatari.

Unaweza kosa pa kutokea.

Ndo ushabiki ulivyo, muhimu ni kuchukulia simple, ukiwa serious unaweza kuugua bure wakati kina Kindoki ambao ndiyo waliofungwa wanajipoza kwa kinywaji.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom