Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,502
usirudie tena kuleta ushabiki uso kua na maana ukisikia mafanikio,ongelea mafanikio sio unaleta hbr za hayo makombe yako ya ajabu!hvi unajua ukiingiza timu atua ya makundi caf unakua unaingza kiasi gani?
... Ndio maana nimesema wazee wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, na wewe unaendeleza yale yale.
Zungumzia basi 6-0 za Raja Casablanca !!! Au kama huko ni mbali sana, basi walau 5-0 za Simba! :becky::becky::becky:
mmeuza lini nyie mchezaji kwa bei gani na yuko wap?? Na hele yake iko wapi?
Mwaka 2005 tulikuja na kombe la Tusker kutoka Kenya baada ya kuwafunga Asante Kotoko, soma kwa makini jina la timu tuliyoifunga.Nyie ndio watoto wa Msomali ninaowatafuta, sisi Africa Mashariki hatuishii, tunaenda kushindana.
Kuna maneno ya kipumbavu yanazagaa kwenye hizi redio ambazo watangazaji wa michezo ni wachaga, eti Simba Koko ndio inaiwakilisha Tanzania vizuri nje ya nchi.
Mi naomba kama kuna MWANAUME hapa JF mwenye jeuri ya kuzungumza na Mwana Mtoka Pabaya, ajitokeze anieleze ni lini Simba iliwahi kupanda ndege (kuvuka mpaka) na KOMBE?
Yanga imeshafanya hivyo mara 2. Imekwenda nje kushindana na kurudi na kombe.
ANGALIZO: Usije ukanitajia Kombe la Maulid mnaloendaga kucheza kwa kina Kakke, nitakutukana matusi ya nguoni
dk ya 8 simba wamepigwa 1 mchezaji na 14 kafunga