rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 462
Ni kweli Amir Maftah kaonyeshwa kadi nyekundu, mazingira ya hiyo kadi matngazaji hata hakueleza sijui ilikuwaje.
Manji in action, lol!
Ni kweli Amir Maftah kaonyeshwa kadi nyekundu, mazingira ya hiyo kadi matngazaji hata hakueleza sijui ilikuwaje.
Mkuu matokeo ni Simba 2-1 Prison, aliyeweka mbili mbili atakuwa amevuta bangi.