Simba v/s Tanzania Prison Super sport LIVE

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,089
Super Sport wametuwekea Live Simba -0 na Prison - 1 lkn tumeenda wapi? Fulham v/s ManCity? Au Everton -0 v/s soton -1 au au tupo Readings v/s NCastle muwe mnarudi nyumbani
 
ndugu mbona sikuelewei?
simba kafungwa? dakika ya ngapi na nani mfungaji

tafadhali sana mkuu

Super Sport wametuwekea Live Simba -0 na Prison - 1 lkn tumeenda wapi? Fulham v/s ManCity? Au Everton -0 v/s soton -1 au au tupo Readings v/s NCastle muwe mnarudi nyumbani
 
soka la bongo ni rushwa, fitna na majungu tu

ni sawa na kusoma uwazi na ijumaa
 
Tueleze mazingira ya hiyo kadi mkuu.

kwanza mods warudishe post yangu then kadi ilikuwa faul ya kwaida na haikustahili hata yellow card but imetoka red wakuu sijui kama ndo fitna za ynga au vipi lakini mpira uuawa. Umeisha simba 2 -1.
 
kwanza mods warudishe post yangu then kadi ilikuwa faul ya kwaida na haikustahili hata yellow card but imetoka red wakuu sijui kama ndo fitna za ynga au vipi lakini mpira uuawa. Umeisha simba 2 -1.
Kijana Ngalema ataziba hilo pengo, acha wafanye fitina lakini dakikia 90 zitaongea siku hiyo.
 
Na nyie kesho chezeni fitna Niyonzima na Mbuyu Twite wapewe kadi...Mbona gazeti la Dimba lilisema Kapombe ndio angepewa kadi?
 
Back
Top Bottom