Simba v Ruvu Shooting - May 05, 2013

Simba v Ruvu Shooting - May 05, 2013

Normal Distribution ina umbo la kengele (Bell shape), reverse yake ni kama parabola yaani Simba wameanza kwa mafanikio ya juu, muda ulipokuwa unaenda wakaanza kudorora, kiasi cha kufifia kabisa, wanapokaribia mwisho mafanikio yameanza kupanda tena. Mei 18 tunaitibua hii graph kutoka juu hadi chini.

Hapa utakuwa umewasaidia sana wale ambao hesabu iliwasaidia kufika shule ya upili tu halafu wakaachana nayo.
 
Wabheja kulumba japo sihusiki.

Asante sana Mkuu, tuko pamoja. Rekodi ya Ruvu Shooting siyo nzuri hawana uwezo wa kulinda matokeo wanayoyataka. Sasa Mnyama anajisikia kafanya la maana kumbe bahati imewadondokea dakika za mwisho.
 
Piganieni hako kazawadi lakini kuombea Yanga au Azamu zifulie ni kuchekesha walionuna kwa kuwa hizo ndio first and second richest club in Tz respectivelly.

RICHEST IN WHAT TERMS? Ukinambia Azam sawa maan owner wake anajulikana,,, sasa hawa Yeboyebo huo utajiri uko wapi? Au unazungumzia utajiri wa Manji?
 
Back
Top Bottom