aangalie tu wasimpe red card tu maana soccer la afrika..
Tayari kashatolewa na Ngassa kaingia naye kachapwa yellow card.
Ha ha ha haaa, A/c za nini kaka wakati vitendo vinaongea? Kwanza ndio club pekee zinazomiliki viwanja japo nanyi mnacho kile cha kuazima pale Kinesi, pili tunauwezo wa kusajiri au kuzuia usajiri wa mchezaji yoyote tumtakaye rejea usajiri wa Twite na Ngassa mpaka maharage yenu yakamwaga machozi. Chezea Yanga wewe?
Figure ndo zinatakiwa, kwa sababu swala la usajili hela zinaweza toka account nyingine the same to swala la kiwanja, nataka account za club, weka hapa tuone kama hazijasoma sifuri kote Yanga pamoja na Azam, bora yetu inaweza kusoma salio zuri labda hela ya Okwi imeshaingia.
Kipindi cha 2 kimeanza, dak. 53 Ruvu wanapata bao, Simba 1-1 Ruvu Shooting.
Figure ndo zinatakiwa, kwa sababu swala la usajili hela zinaweza toka account nyingine the same to swala la kiwanja, nataka account za club, weka hapa tuone kama hazijasoma sifuri kote Yanga pamoja na Azam, bora yetu inaweza kusoma salio zuri labda hela ya Okwi imeshaingia.
Tayari kashatolewa na Ngassa kaingia naye kachapwa yellow card.
job true true hapo najua mashabki wanamaindi balaa..
ubwato ndo kaaribu wakwanza..
Figure ni siri Mkuu.
Dak. 67 Simba 1-1 Ruvu Shooting.
ubwato ndo kaaribu wakwanza..
Ndetichia unanisingizia mkuu mbona post zilizopandana ni za Msuke na Makoye Matale mi nimeingiaje hapo?
Mkuu ni siri kwa sababu hamna kitu, kungekuwa na kitu mbona kila kitu kingekuwa wazi, mbona wenzetu wa ulaya figure zao zinajulikana na unaweza kujua club gani inaongoza kwa ukwasi kiasi, lakini huku kwetu tunafanikiwa kujua pointi na magoli tu na msimamo wa ligi na yenyewe ni kwa sababu inachezwa sehemu ya wazi, maadamu ingekuwa inachezwa ndani sehemu ambayo sio ya wazi mpaka sa hivi tungekuwa tunaulizana timu gani inaongoza.
Vipi hatujaongeza la pili tu?