covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 4,950
- 10,826
Kwa mufuatilia match mbili za simba ya tabora na hii ya leo ccm kirumba ni dhahiri kabisa.
Chama ndio Simba yenyewe maana kubadilika kwa hama ndio kumefanya timu zima imebadilika sasa.
Simba inacheza tofauti kabisa kwa sasa wanacheza vizuri na matokeo yanaonekana maajabu ni kuwa Yanga wanaanza kuporomoka tena huu mpira wa tanzania ni ajabu kabisa.