
✌️Ila maoni yangu ni kumchezesha Manula mechi hii muhimu kwa mara ya kwanza tokea apone ni kosa kubwa.
Pili, Kapombe hana nafasi mbele ya Mwenda. Kocha lazima afanye hayo mabadiliko ni muhimu sana.
Bado kuna changamoto ya kipa na kiungo mshambuliaji badala ya kumtegemea Saidoo tu.
Leo mechi ameshinda kocha bora na timu bora hapo ushabiki pembeni.
The fact that Simba hajamaliza mechi na clean sheet was a big concern to me. Sikutegemea muujiza maana kama Simba wana concede kila mechi, ina maana walitakiwa washinde kwa magoli mengi.
Something I didn’t think was going to happen.
Walio soma Literature washa nielewa nini nina maanisha mkuu,hivyo ondoa shakaNi Thimba au Simba??
DahTatizo ubishi tu. Mtu mwenye unabii na nyota ya ubashiri GENTAMYCIME aliliona hili mapema ndo mana Leo kaenda kulewa pale mwenge