Simba tujiandae kisaikolojia hiyo june 15

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
5,581
Reaction score
10,110
Ni michezo kadhaa ya derby imepita tangu Simba ipate ushindi mbele ya Yanga. Baada ya hapo tumekuwa tukipokea vipigo mfululizo, ushauri wangu tujue wazi kupata pointi 3 mbele ya Yanga kwa sasa ni jambo ambalo haliwezekani ili tusije kuanza kulaumu wachezaji baada ya mechi. Walau pointi moja kwenye huo mchezo ndiyo halali yetu, napo tunatakiwa kujipanga vizuri. Yanga wapo katika maandalizi mazito na hakuna asiyejua uimara wa kikosi chao.

Ukweli mchungu, kwa mara nyingine tunapoteza ubingwa, msimu ujao watu wanaohusika na usajili wajitafakari, hizi habari za kusajili wachezaji 10 afu kati yao mmoja ndiyo afadhali hatutaki, Simba tumeshindwa kupata mtu makini kwenye usajili kama Hanspope?
 
Saa hii wanawaza mwakani watavukaje robo club bingwa msimu ujao. Zile pesa zishawanogea.

Ni kweli mkuu, Simba inataka kutumia cheap players to earn money mpaka inajisahau kwenye mambo mengine, imefanya hivyo misimu kadhaa. Imagine kile kikosi cha kina Jobe kiliingiza pesa za kufika robo fainali.
 
Ho
 
Ni michezo kadhaa ya derby imepita tangu Simba ipate ushindi mbele ya yanga. Baada ya hapo tumekuwa tukipokea vipigo mfululizo, ushauri wangu tujuebwazi kupata pwenti 3mbele ya yanga kwa sasa nijambo ambalo haliwezekani ili tusije kuanza kulaumu wachezaji baada ya mechi. Walau pwenti moja kwenye huo mchezo ndio halali yetu , napo tunatakiwa kujipang vizuri. Yanga wapo katika maandalizi mazito na hakuna asiyejua uimara wa kikosi chao.

Ukweli mchungu, kwa mara nyingine tunapoteza ubingwa , msimu ujao watu wanaohusika na usajili wajitafakari, hizi habari za kusajili wachezaji 10 afu kati yao mmoja ndio afadhali hatutaki, simba tumeshindwa kupata mtu makinI kwenye usajili Kama Hanspope?
#HATUCHEZI NG'O 15/06
 
Ukweli mchungu..
 
Back
Top Bottom