mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,580
- 45,185
Kwamba yanga msimamo wao utatepeta mithili ya mkate ndani ya chai ,sio!!Danganya toto
Kwamba yanga msimamo wao utatepeta mithili ya mkate ndani ya chai ,sio!!Danganya toto
😄😄Yanga hawana ubavu wa kuidindia TFF na Bodi ya Ligi, tarehe 15 mechi ipo watake wasitake hata kwa viboko tutawaleta lazima wacheze hawataki wahamie Burundi au Zanzibar.
tunasema #HATUCHEZI NG'O 15/06Si walisema hawachezi?
Ubwege ni kuishia makundi...UBAYA UBWEGE
Umemsahau Ahmed Ally.Ana gundu aondokeHatumtaki Mangungu. Mangungu tangu awe Mwenyekiti, hatujawahi kupata ubingwa wa aina yoyote ile. Mangungu ana gundu. Atuachie tu timu yetu. Bora timu isimamiwe na Mzee Kilomoni.
Wewe utakuwa umevurugwa bila shaka. Fainali ya nbc ndiyo ipi hiyo!!Ubwege ni kuishia makundi...
Ubaya ubwela umetufikisha fainali ya CAF upo?? Ubaya ubwela umetufikisha fainali ya nbc upo??
Ubwege tumewaachia nyinyi..hatuchezi fc
Ni kichwa chako...Wewe utakuwa umevurugwa bila shaka. Fainali ya nbc ndiyo ipi hiyo!!
Ubwege ni kuishia makundi...
Ubaya ubwela umetufikisha fainali ya CAF upo?? Ubaya ubwela umetufikisha fainali ya nbc upo??
Ubwege tumewaachia nyinyi..hatuchezi fc