Simba (Tanzania) vs Express (Uganda): Jinamizi la Kutoa Sare Limeanza.

Simba (Tanzania) vs Express (Uganda): Jinamizi la Kutoa Sare Limeanza.

Mr. SADC_TZ

Senior Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
105
Reaction score
22
Haya jamani wale mashabiki wa jengo la Msimbazi (KariaKoo),Leo ninadiliki kusema ya kwamba timu yenu haina makali tena .yaani kutoka suruhu na hawa jamaa wanaoshika nafasi ya nne kule kwao.

Mkae mkijua ya kwamba watakavyo cheza na Yanga, Kitakacho (Express) wakuta ndicho kitakacho wakuta ninyi Simba.

Lakini mna haki ya Kuishi kwa wasiwasi...!
 
yanga nyie ni mademu zetu Wa milele.tunajipigia tu.next week so mbali
 
Mmetoa droo na Abajalo mbona husemi .Tena ya taabu baada ya kuwa nyuma 2-0?
 
Vip game ya Yanga na Villa itarushwa channel ipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom