Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

Hadrianus

JF-Expert Member
Feb 19, 2020
2,112
5,208
Amewahi kuhudumu Sahara Media & Azam Media
FB_IMG_16411942611541360.jpg


Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki.

Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano. #NguvuMoja
 
Ahmed Ally Mtangazaji wa Azam TV ameteuliwa kuwa Msemaji Mpya wa Klabubya Simba kuanzia tarehe 03 Januari 2022. Taarifa ya Simba kwa Vyombo vya habari kupitia Simba APP imebainisha kuwa Mtangazaji huyo kijana na mchapakazi atakuwa Ofisa Habari na Mawasiliano

Kabla ya kujiunga na Simba SC Ahmed alipata kufanya kazi Sahara Media ( Star TV na RFA radio)
 
Back
Top Bottom