Simba SC yamfukuza kazi kocha wake Logarusic

Simba SC yamfukuza kazi kocha wake Logarusic

Hamna Noma Na Nisalimie Shemeji Yangu Na Mwambie Nasubiria Mwanangu..... Kibosongo Junior!

eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh,muda c mrefu inshallah mwenyezi MUNGU akijaalia atamleta duniani,tumwombe yeye AJAALIE kaka mkuuuuuu
 
Mzambia Ni Jina tu La Utani Alipewa Na Mashabiki Kwa Alivyokuwa Akicheza Jihad Kama Wazambia ILA Matola Ni Muha Halisi Kutoka Mkoani Kigoma Magharibi Mwa Tanzania. Samahani Kwa Kuchanganyikiwa Na Ungekuwa Ni Mdau Wa Mpira Kipindi Kile Cha Uwanja wa Shamba La Bibi Basi Usingekuwa Mgeni wa Jina Hilo La Utani la Matola La " Mzambia ".

Watanganyika wote tunaopenda soka, tukihudhuria kila mechi pale SHAMBA LA BIBI itakuwa balaa Mkuu!
 
Hahahahahaaaaaaaaaaa,nimekustukia bro,na wewe ni man uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,nilikuwa sijuiii

We Acha Mzaha Mdogo Wangu Siwezi Nikawa Mshabiki Wa Timu Mbovu Kama Man U Na Mimi Ni Mzee Wa You Will Never Walk Alone a.k.a Liverpool FC Na Msimu Huu Mtatafutana Nyie Washamba Wa Man U, Chelsea, Man City na Viwete Arsenal.
 
Huyu mnafiki Binti Zuber Yanga ndio wangekuwa ndio wamefukuza kocha,angeandika kinafiki sana

Tena angeandika makala zaidi ya 5 za kuuponda uongozi wa yanga..lakin zile goli 3 za zesco alitamani hata asiziandike
 
MAHABA: Aliyekuwa Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic anadaiwa kuingilia penzi la Wema Sepetu na kumuonyesha mahaba mazito huku akimuahidi kuishi naye nje ya nchi
 
PHIRI KUTUA LEO: Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri anatarajiwa kutua nchini leo mchana akitokea Lusaka, Zambia tayari kuanza kukinoa kikosi hicho cha Msimbazi!
 
PHIRI KUTUA LEO: Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri anatarajiwa kutua nchini leo mchana akitokea Lusaka, Zambia tayari kuanza kukinoa kikosi hicho cha Msimbazi!

TAYARI:
PHIRI ATUA DAR: Kocha Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa Simba. Yupo njiani kuelekea klabuni hapo akitokea Uwanja wa Ndege.
 
kocha mwenye kutaka nidhamu kwa wachezaji ameondoka usiku wa leo muda wa saa tisa usiku.

taarifa
cloudstv
 
weka picha akiondoka zake........lol

coaches are hired to be fired
 
download (1).jpg
alivyowasili
 
1-1555283_783895064987355_7489858781695667432_n.jpg

Kupitia mtandao wa Facebook, Loga ametupia picha mbili huku akiandika "by by Tanzania), akimaanisha bye bye Tanzania.
 
Huyo Lazima Awe Mnoko na Mwenye Msimamo Kama Hayati Babu Yetu Achi........!

yaaaa,kwa kweli yule mzee wetu RIP to him alikuwa jembe sana na alikuwa ana Hekima kama Mfalme Suleiman vile,akisema NO,huwezi kumbadilisha kirahisi,upeo wake ulikuwa juu sana,tuzidi kumwombea kw MUNGU atupe watoto wa aina ile
 
We Acha Mzaha Mdogo Wangu Siwezi Nikawa Mshabiki Wa Timu Mbovu Kama Man U Na Mimi Ni Mzee Wa You Will Never Walk Alone a.k.a Liverpool FC Na Msimu Huu Mtatafutana Nyie Washamba Wa Man U, Chelsea, Man City na Viwete Arsenal.

Hahahahahhaaaaaaaa,kaka bwana,mwaka wetu huuuuu,sie tunaanza kesho ligi tunampa mtu saba kama onyo kwa wengine,mkija nyie 3 n.k,mwaka huu sijui mtalibebea wapi mbeleko la Van Gaal
 
yaaaa,kwa kweli yule mzee wetu RIP to him alikuwa jembe sana na alikuwa ana Hekima kama Mfalme Suleiman vile,akisema NO,huwezi kumbadilisha kirahisi,upeo wake ulikuwa juu sana,tuzidi kumwombea kw MUNGU atupe watoto wa aina ile

Hakika Upo Sahihi Mdogo Wangu. Ebwana Naona Sasa Nyie Mmeamua Kuzaa Nami Ngoja Sasa Nijipange Na Nimtafute Wa Kumfyatua ili Twende Sawa!
 
Hahahahahhaaaaaaaa,kaka bwana,mwaka wetu huuuuu,sie tunaanza kesho ligi tunampa mtu saba kama onyo kwa wengine,mkija nyie 3 n.k,mwaka huu sijui mtalibebea wapi mbeleko la Van Gaal

Mashabiki Wa Man U, Chelsea, Man City na Sijui Arsenal Msije Kabisa Mkajidanganya Kwa Liverpool Ya 2014/2015 tena Bila Ya Mng'ataji..........Liverpool Ya Sasa Ni Kanyaga Twende Kama Chama La Patrick Phiri Wekundu Wa Msimbazi Na Kesho Tunaanza Kutoa Salamu Za Mapemaaaaaaaa......Timu Ninazoziogopa Ni Tottenham Na Swansea Pekee Na Kama Unajua Mpira Najua Utakuwa Unajua Ni Kwanini Naziogopa Hizo Timu Mbili tu Ligi Kuu Hii Ya Uingereza ILA Man U Naifananisha Na Mgambo Shooting Ya Tanga!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hakika Upo Sahihi Mdogo Wangu. Ebwana Naona Sasa Nyie Mmeamua Kuzaa Nami Ngoja Sasa Nijipange Na Nimtafute Wa Kumfyatua ili Twende Sawa!

Hahahaaaaaaaaa,kaka bwana,poa wazo ni zuri ila angalia wanawake wa mjini huko kwenu inatakiwa utulie kweli,kwani migubegube iliyokata tamaa ya maisha ni mingi sana inasubiri pa kudondokea tu kwenye nafuu ya maisha
 
Back
Top Bottom