Hii kali man city kapigwa tatu leo na watu wanaendelea kama kawaida.hizi ngozi nyeusi kama tuna laana.simba hawatapata kocha tena kama huyu.manchester walikuwa wanamtaka huyu.
Tatizo soka la Bongo wanampima kocha kwa mechi moja. Wanashindwa kujifunza kwa Arsene Wenger, Ferguson etc. Kwa mtindo huu Soka la Bongo kukua kufikia viwango vya kimataifa tusahau.
Kaongoza Simba kwa mechi 21
Simba, nyie wehu wote kabisa! Mnafukuza kocha kwa ajili ya mechi ya kirafiki? Katavi, kamata dili hiyo ila ujue mechi yako moja tu kibarua hichoooooooo!
Tanzania siku moja waweke mashindano ya Ngono pale uwanja wa Taifa muone kama hatujaenda wed cup. Soka tuwaachie Kina Maulid Kitenge wakiwa studio baasi utadhani Tanzania tuko vizuri sana kumbe wapi
Hapa ieleweke wazi anayengelewa ni Selemani Matola na siyo Matola wa JF.
Matola wa JF hana muda na mambo ya fitina majungu na zengwe na ndio maana waliojaa kwenye soka la Bongo ni unskills people.
Na wewe nenda kamueleze Suleiman atafute shughuri za kufanya mambo ya Simba amuulize Julio na Kibaden.
Mpaka leo ni wachezaji watatu ndio naona walijitambuwa nao ni Leodgar Tenga, Mwamed Mwameja na Laurence Mwalusako basi. ukocha ni kazi ya watu ambao hawakucheza mpira.
Hahahaaaaa,Kwa nini mkuu?
Mkuu, hadi hapo hujaelewa kilichomfukuza Loga? Sitaki kuamini kuwa una akili nzitoTatizo soka la Bongo wanampima kocha kwa mechi moja. Wanashindwa kujifunza kwa Arsene Wenger, Ferguson etc. Kwa mtindo huu Soka la Bongo kukua kufikia viwango vya kimataifa tusahau.
Na bado mtaisoma mwaka huu
Wiki iliyopita Tukiwa Sinza Matola alituambia Jambo ila Tukawa Tunafanya Mzaha na Kwa Muda Mrefu Sana Nahodha Owino alikuwa Akiniambia Kuwa Simba haina Kocha Nikawa namkatalia na Alinipa Sababu Kadhaa ILA Kubwa ni Kwamba ANAPENDA SANA KUGOMBEA MABINTI na WACHEZAJI Wake Na UKIMZIDI TU KWA HUYO DEMU basi UTACHUKIWA na KUYAOGA MATUSI Yake Na Ukifanya Masihara UNAWEZA HATA KUPIGWA NGUMI na Pia Hajui Kufundisha na Hana Mbinu na Anabahatisha Kiufundishaji Na Ni Jana Tu Nikiwa Uwanjani Taifa NAKUMBUKA MANENO YA MZEE Wetu Juma Mnonji Kuwa TOKEA AANZE KUWA MWANA SIMBA TOKEA ENZI ZA Sunderland na Sasa Simba Sports Club hajawahi Kuona Kocha MBOVU na MSANII Kama Logarusic. Kikubwa Zaidi Kilichomsibu Loga Haswa Jana Ni Kitendo Chake Cha KUWATUKANA WACHEZAJI Matusi Ya NGUONI ktk Dressing Room Huku Akitaka Kuwapiga Baadhi Kama Baba Ubaya, Uhuru na Banda Na Isingekuwa Busara Ya Matola Angewapiga Kweli. Na Ikumbukwe Pia Kuwa Logarusic Alikwishaonywa Kuhusiana Na Tabia Zake Hizo Na Kibaya Zaidi Anapenda Mno Starehe Na Vibinti Vidogo Vidogo huku Akishindwa Kuwa Responsible Kama Coach au Manager wa Klabu Kubwa. Kuna Uwezekano Milovan au Kikieleweka Patrick Phiri au Kocha Kutoka Kusini Mwa Afrika Akaja ila kwa Sasa Mzambia MATOLA Ndiyo Caretaker. Binafsi Napongeza Kutimuliwa Kwake kwani Dhahama Kubwa Ingetukumba huko Mbeleni.

Alifungwa zote 21?