Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Pamoja na kuzeeka kuna wachezaji pale wameshajihakikishia namba ,wanajiona mafaza ,ningekuwa kocha ningeandaa kikosi na wachezaji wapya na wale ambao hawapati namba halafu hao mafaza wanatokea sub hadi akili iwakaeKocha analipwa mshahara was dollar 15000 wakati Hana vyeti
Halafu pesa ya kumlipa inatoka kwenye mashindano ambayo Kwanza Hana vyeti vya kuyashiriki pili katolewa kipumbavu.
Mo hapa yupo sahihi 100%
Ila tatizo la Simba Ni kubwa wachezaji wamezeeka Sana Sana timu inahitaji kufumuliwa.