Simba SC watangaza kuboresha kikosi kuelekea msimu mpya 2023/24

Hiki ni kikosi kizima wakibadili,
Lasivyo wanaenda kule walipotoka msinu ulopita
Onyango
Nyoni
Kapama
Okrah
Gadiel
Jimson
Sawadogo
Boko
Kennedy
Sako
Mosses
Banda
Hapana, hapo Phiri, Sakho, Jimmy, waendelee kusalia.
 
Wakati hao viongozi wakitangaza kuanza kwa hayo maboresho ya kikosi chao kilichokosa hata medali ya kombe la mapinduzi msimu huu, mashabiki wao hata hawajali eti!!

Badala yake wengi wako busy kuponda mafanikio ya Yanga! Kweli aliyewaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii, hakukosea.
Mafanikio yapi ya Yanga ambayo Simba SC hakuyafikia? Hiyo paragraph ya mwisho atakuja kujibu mpiga vichwa kwangu imenishinda.
 
Kinachofanyika ikulu kilipaswa kuzuia mengine yasiendelee?
Hii kauli hata Yanga wanayo sana, walisema kuwa kila Yanga ikikaribia game kubwa Feisal anahujumu kuhusu sakata lake.

Inashangaza sana, yaani kukiwa na jambo fulani, jambo lingine lisifanyike.
 
Hii kauli hata Yanga wanayo sana, walisema kuwa kila Yanga ikikaribia game kubwa Feisal anahujumu kuhusu sakata lake.

Inashangaza sana, yaani kukiwa na jambo fulani, jambo lingine lisifanyike.
Ni ujinga wa watanzania walio wengi, kwa style hii ingetokea wamechukua kombe nadhani wangeomba serikali isitishe huduma zote.

UJINGA TU.
 
Kwenye kuoffload msipokuwa makini mnatoa boko, Okrah,Phiri sio wa kuachwa hasa Okrah,mkimuacha natamani Nabi amuone.
Okrah ameachwa rasmi kwenye kikosi cha Simba SC baada ya kumalizika kwa mkataba wake.
 
Okrah ameachwa rasmi kwenye kikosi cha Simba SC baada ya kumalizika kwa mkataba wake.
Hii ni mistake ndugu zangu.

Okrah na Phiri hawa sio wa kuondoka,halafu yule Beleke sio wa kwenu watu wakifika dau la kumnunua Beleke ,Mazembe anamuuza na Mazembe sasa hivi ana struggle kujenga timu unaweza ukakuta wakajumuisha Beleke kwenye kikosi kipya.

Simba nafasi ya kwanza kuifanyia usajili wa haraka ni kipa,Manula kafanyiwa upasuaji mkubwa atakuwa nje kwa miezi mitatu au zaidi na kwenye mpira makipa wazuri wapo wachache kupata replacement ya Manula itakuwa kazi, mwezi wa nane super league inaanza,kipa namba mbili mshauza,mmebakia na dogo anaye tema mipira.
 
Sasa hela yote si itaishia kwenye kuvunja mikataba, kufanya replace ya wachezaji wote hao sio chini ya b 1.5 inahitajika bado hujawalipa mishahara
Hiki ni kikosi kizima wakibadili,
Lasivyo wanaenda kule walipotoka msinu ulopita
Onyango
Nyoni
Kapama
Okrah
Gadiel
Jimson
Sawadogo
Boko
Kennedy
Sako
Mosses
Banda
 
Klabu ya Simba leo Juni 5, 2023, kuanzia saa 4:00 Asubuhi wanaanza kutangaza maboresho ya kikosi chao kuelekea msimu mpya 2023/2024.

Update:

"Baada ya kuwa kwenye kikosi chetu kwa msimu mmoja Augustine Okrah hatakuwa sehemu ya timu yetu msimu ujao". Taarifa kutoka Simba SC.
Mbadala wa Okra sasa utasikia ni winga hatari wa Lyon sport ya Rwanda. Yaleyale ya Sibomana. Alafu eti mnaitaka finali ya caf thubutuu
 
Ulazima wa kutangaza upo, utajuaje kama si kuanza kutangaza maboresho ya Kikosi.
Maboresho ni given haitaji kutangaza kuwa unafanya maboresho kinachoitajika ni taarifa mwendelezo wa hayo maboresho, mfano Yanga wameshamalizana na wachezaji wakubwa wawili imebaki mambo machache sana lakini wala hatusemi
 
Back
Top Bottom