Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

Ila kumbuka tulikubaliana Simba ilipotolewa na Waidady, hakuna kufa kiume wa kikike Kufa ni kufa tu, hivyo iwavyo hata yanga imekufa.
Tena penalt wachezaji walikua wanakosa makusudi kabisa.
Tunasema yanga amenyimwa goli
 
Sawa haya mbona akina namungo mnawafanyia huku, Yanga CAF ni timu ndogo tu, haya mmepewa penalt mkakosa makusudi kama siyo uzembe nini.
Hoja Ni kuwa kwann Simba hajadiliwi kbsa wkt tulicheza pmj
 
Tukio la Jana yanga kupokwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu


Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za Simba Wanaka kimya

Simba wanashukuru hili tukio la yanga sna
Simba wanajielewa
 
Back
Top Bottom