dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,412
- 15,995
- Thread starter
- #41
Japo Simba imetoka kizembe zaidHaijalishi timu zote zishatoka hivyo
Japo Simba imetoka kizembe zaidHaijalishi timu zote zishatoka hivyo
Ila kumbuka tulikubaliana Simba ilipotolewa na Waidady, hakuna kufa kiume wa kikike Kufa ni kufa tu, hivyo iwavyo hata yanga imekufa.Japo Simba imetoka kizembe zaid
Tunasema yanga amenyimwa goliIla kumbuka tulikubaliana Simba ilipotolewa na Waidady, hakuna kufa kiume wa kikike Kufa ni kufa tu, hivyo iwavyo hata yanga imekufa.
Tena penalt wachezaji walikua wanakosa makusudi kabisa.
Sawa haya mbona akina namungo mnawafanyia huku, Yanga CAF ni timu ndogo tu, haya mmepewa penalt mkakosa makusudi kama siyo uzembe nini.Tunasema yanga amenyimwa goli
wamepata chaka sanaaaMikia inajificha kwenye kichaka cha Yanga
Noo mtaani na mtandaoni Ni yanga tu Sasa nahoji Simba hamkuchezaa?Wewe mbona unaongelea habari za Simba kwenye huu uzi wako? Au VAR ndio imepost huu uzi
Hadi numbisa leo umeandika sentence ndefuKile kikundi kinachojua ni kuaibisha taifa. Walipigwa kwa mkapa wakaenda kumaliziwa misri hawana jipya
Hkn makusudi penat Haina wataalamuSawa haya mbona akina namungo mnawafanyia huku, Yanga CAF ni timu ndogo tu, haya mmepewa penalt mkakosa makusudi kama siyo uzembe nini.
Hoja Ni kuwa kwann Simba hajadiliwi kbsa wkt tulicheza pmjSawa haya mbona akina namungo mnawafanyia huku, Yanga CAF ni timu ndogo tu, haya mmepewa penalt mkakosa makusudi kama siyo uzembe nini.
Ahahaha Simba wako humble sna leo lkn tunasemaSimba wanaishukuru sana Yanga bila hiyo leo Mangungu angekaliwa kooni.
Mo angetwiti
Namshukuru mama Samia kwa Simba na Yanga kutolewa CAFCL.
Simba wanajielewaTukio la Jana yanga kupokwa ushindi kwa nguvu limefunika kbsa habri za Simba kupigwa tatu kavu
Yanga ndio imekuwa the top story kwa watu wote hakn mtu anongelea hbr za Simba ukiongeaa habr za Simba Wanaka kimya
Simba wanashukuru hili tukio la yanga sna