Simba SC tuiandae Timu Kisayansi kucheza na Al Ahly na tusijiamini kwa Kutegemea tu Waganga wa Tanga, Morogoro, Kigoma na Zanzibar

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,177
Kwa mfano GENTAMYCINE nina Taarifa za uhakika kuwa kuanzia Keahokutwa ( Jumanne ) Klabu ya Al Ahly itatuma Majasusi wake Wawili ambapo Mmoja atakuwa na Kazi tu ya Kuisoma na Kufuatilia Simba SC yetu ( yangu ) popote pale ikicheza ili Kuisoma Kiufundi na kutoa Taarifa Kwao Misri na Mwingine atakuwa na Jukumu la Kupeleleza Hotel nzuri na Kiwanja kizuri cha Mazoezi kwa ajili ya Timu yao.

Nawaonyeni mapema ( hasa Uongozi ) kuwa msidhani Al Ahly safari hii watakuja Kizembe na Kichwakichwa hivyo tujikite zaidi kuiandaa Timu yetu Kisayansi ( Kiufundi na Kimkakati ) na hao Waganga wetu watumike pale tu Timu ikiwa imeshaiva Kiufundi ili Kuirahishisha Mechi.

Tusijidanganye kwa Kauli za Kihistoria kuwa sijui Kwa Mkapa hatoki Mtu kwani kwa nilivyowaona hawa Al Ahly ( hasa Kiufundi na Kiuchezaji ) Kauli inaweza kubadilika na kuwa Kwa Mkapa Stadium tarehe 20 Oktoba, 2023 tumekufa Hamsa na Kwao tarehe 24 Oktoba, 2023 tutaenda Kufa Hamsa zingine kisha tutaanza kusema Yanga SC wametufitinisha kwa Wivu wao na Kufungwa / Kutolewa ramsi African Football League ( AFL )

Tuwe makini mno na tujipangeni Ok?
 
Tusijidanganye kwa Kauli za Kihistoria kuwa sijui Kwa Mkapa hatoki Mtu kwani kwa nilivyowaona hawa Al Ahly ( hasa Kiufundi na Kiuchezaji ) Kauli inaweza kubadilika na kuwa Kwa Mkapa Stadium tumekufa Hamsa na Kwao tarehe 24 Oktoba, 2023 tutaenda Kufa Hamsa zingine kisha tutaanza kusema Yanga SC wametufitinisha kwa Wivu wao na Kufungwa / Kutolewa ramsi African Football League ( AFL )

Tuwe makini mno na tujipangeni Ok?
wewe jamaa bana

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano GENTAMYCINE nina Taarifa za uhakika kuwa kuanzia Keahokutwa ( Jumanne ) Klabu ya Al Ahly itatuma Majasusi wake Wawili ambapo Mmoja atakuwa na Kazi tu ya Kuisoma na Kufuatilia Simba SC yetu ( yangu ) popote pale ikicheza ili Kuisoma Kiufundi na kutoa Taarifa Kwao Misri na Mwingine atakuwa na Jukumu la Kupeleleza Hotel nzuri na Kiwanja kizuri cha Mazoezi kwa ajili ya Timu yao.

Nawaonyeni mapema ( hasa Uongozi ) kuwa msidhani Al Ahly safari hii watakuja Kizembe na Kichwakichwa hivyo tujikite zaidi kuiandaa Timu yetu Kisayansi ( Kiufundi na Kimkakati ) na hao Waganga wetu watumike pale tu Timu ikiwa imeshaiva Kiufundi ili Kuirahishisha Mechi.

Tusijidanganye kwa Kauli za Kihistoria kuwa sijui Kwa Mkapa hatoki Mtu kwani kwa nilivyowaona hawa Al Ahly ( hasa Kiufundi na Kiuchezaji ) Kauli inaweza kubadilika na kuwa Kwa Mkapa Stadium tarehe 20 Oktoba, 2023 tumekufa Hamsa na Kwao tarehe 24 Oktoba, 2023 tutaenda Kufa Hamsa zingine kisha tutaanza kusema Yanga SC wametufitinisha kwa Wivu wao na Kufungwa / Kutolewa ramsi African Football League ( AFL )

Tuwe makini mno na tujipangeni Ok?
Mfe tu
 
Kwa nini unafikiria kote huko mbali,wakati size yenu tu Power Dynamo hamjaipita?. Usifikiri Power Dynamo wenyewe wamelala,na usidhanie kikosi ni kile kile cha mechi ya kirafiki...! Subiri wawachomolee battery ndipo mtakapoamini nyie ni swala
Naunga mkono hoja
 
Kwa mfano GENTAMYCINE nina Taarifa za uhakika kuwa kuanzia Keahokutwa ( Jumanne ) Klabu ya Al Ahly itatuma Majasusi wake Wawili ambapo Mmoja atakuwa na Kazi tu ya Kuisoma na Kufuatilia Simba SC yetu ( yangu ) popote pale ikicheza ili Kuisoma Kiufundi na kutoa Taarifa Kwao Misri na Mwingine atakuwa na Jukumu la Kupeleleza Hotel nzuri na Kiwanja kizuri cha Mazoezi kwa ajili ya Timu yao.

Nawaonyeni mapema ( hasa Uongozi ) kuwa msidhani Al Ahly safari hii watakuja Kizembe na Kichwakichwa hivyo tujikite zaidi kuiandaa Timu yetu Kisayansi ( Kiufundi na Kimkakati ) na hao Waganga wetu watumike pale tu Timu ikiwa imeshaiva Kiufundi ili Kuirahishisha Mechi.

Tusijidanganye kwa Kauli za Kihistoria kuwa sijui Kwa Mkapa hatoki Mtu kwani kwa nilivyowaona hawa Al Ahly ( hasa Kiufundi na Kiuchezaji ) Kauli inaweza kubadilika na kuwa Kwa Mkapa Stadium tarehe 20 Oktoba, 2023 tumekufa Hamsa na Kwao tarehe 24 Oktoba, 2023 tutaenda Kufa Hamsa zingine kisha tutaanza kusema Yanga SC wametufitinisha kwa Wivu wao na Kufungwa / Kutolewa ramsi African Football League ( AFL )

Tuwe makini mno na tujipangeni Ok?
Simba ina waganga?
 
Pompoma mnafiki kama role model wake paskal Mayalla
Tangia lini au ni wapi onyesha GENTAMYCINE Mimi niliwahi kusema Role Model wangu ni huyu Mumeo uliyemtaja hapa?

Simon Msuva anaweza kweli kuwa Role Model wa Lionel Messi GENTAMYCINE?

Halafu nikiwa Nakudharau unakasirika wakati kumbe huwa nakuwa sahihi 100%
 
Back
Top Bottom