Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo wa kwanza wa Simba chini ya kocha wake mpya, Steven Barker.
1767449771214.png
 
Jamaa yangu,usiwe unahangaika kuandika manyuzi ya mpira,hayana wachangiaji.
 
Simba anafungwa hii game labda refa awape dodo
 
Back
Top Bottom