Simba SC vs Ashanti United

Daudi Mwasongwe anaingia...
 
Simba leo tukitoa sareama kufungwa rage nje....
 
Dk za kawaida zimeisha...

Dk 2 za ziada.
 
Paul maona captain wa ashant anajua sana! Ila kwa sababu hayupo katika timu za kariakoo basi hata starz hatoitwa!
 
Mimi nakataa Mbeya City siyo habari ya mjini! Habari ya Mjini ni Ramadhani Singano, timu yake ndiyo inamwangusha.
 
Full Time:

Ashanti 2-4 Simba
 
Hiyo red kadi ingekuwa upande wa Simba hao wanywa viroba wanaokaa upande wa screen kubwa wangeng'oa viti,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…