WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Dah ngoma inogile madogo wamejaribu.
Kaseja anapoteza muda
Zinawatosha hizo 'nyambafu'
Naona mashabiki wa Simba wanaondoka sasa.
Ohoo Simba wanaharibu mchezo makusudi
Hongereni washabiki wote wa Yanga, tuonane msimu ujao.
Hongereni washabiki wote wa Yanga, tuonane msimu ujao.
Refali kachotwa mtama dah
Wamefanyaje?