Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Leo ni siku nyingine katika historia ya Yanga na Simba. Yanga iliandika historia ya kuitandika Simba goli 5-0 hapo tar. 01/06/1968. Simba ilijibu mapigo kwa kuicharaza Yanga 6-0 tar. 19/07/1977. Simba ililipa kichapo cha 5-0 cha mwaka 1968 tar. 06/05/2012. Hadi sasa Yanga haijalipa kichapo cha 6-0 cha 1977. Je, Yanga itaifunga Simba 6-0 leo?
(Data frm Bin ZUBEIRY).
(Data frm Bin ZUBEIRY).