samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
Huko Taifa napo atasem wanashangilia kishabiki hakuna anaeshangilia kwa nidhamu
nilikuwa nasikia vuvuzera za simba na katarumbeta kao, sasa ziii!
Huko Taifa napo atasem wanashangilia kishabiki hakuna anaeshangilia kwa nidhamu
Leo nashanilia nimelala huku lushoto, hatoki mtu hadi 3 zitimu
Hii post imejaa ushabiki, sioni anaeripoti kwa nidhamu.
Bala Is Always Here.........Siwaoni watani wa jadi; Balantanda na Crashwise humu, kulikoni?
Bala vipi mkuu? This time you are not around.
Matusi yako yatakutokea puani leo.
Acha kulia
Yanga wameongeza...Updates plz, Yanga ilikuwa ikiongoza 1-0, na kuna goli limefungwa ni yanga kaongeza au mnyama kasawazisha. Up date plz
Chanongo out-Singano in.
Kiemba out-Mkude in.
Mkuu ni hama bola muwafunge tu kenge hawa.
Analilia nini huyo kwani hakujua kama LIBOLO litawalibolo leo.